RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.
Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.
Source: Wasafi Media.
Musongamano Unaleta maambukizi ya Corona,si mmeona RC wa Rukwa amezuwia mkutsni wa ndani wa BAVICHATangu lini serikali imeanza kuingilia utashi wa mtu binafsi.
Jambo kama hili ambalo halina madhara yeyote kwa mtu linakatazwaje ??
Rais mbona kaenda huko ulaya korona ilipoanzia na hakuna aliyelalamika??Musongamano Unaleta maambukizi ya Corona,si mmeona RC wa Rukwa amezuwia mkutsni wa ndani wa BAVICHA
Kuwa na akili!!kwani hilo kabuli ni mali ya serikali?au liko kwenye makumbusho ya taifa?!!Tangu lini serikali imeanza kuingilia utashi wa mtu binafsi.
Jambo kama hili ambalo halina madhara yeyote kwa mtu linakatazwaje ??
inasemwa alizikwa kimila,na pia aliwahi kupewa uchifuJe, Magufuli alikuwa "mtu wa Matambiko". Kama jibu ni hapana bila shaka hata yeye hatopendezwa na jambo hilo la kufanya tambiko kaburini mwake.
Au sio nape nnauyeHapana Hapana anaweza akafufuka kwakweli aliyoyafanya yanatosha ni muda wake apumzike tuile nchi!!!
Kwani wanaenda kufanya tambiko?[emoji871]Huyo RC mbona hawazuwii wale marais na wakurugenzi wa benki za kimataifa wanaokuja pale.