RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.

Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.

Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.

Chanzo: Wasafi Media.
 
emoji871.png
Huyo RC mbona hawazuwii wale marais na wakurugenzi wa benki za kimataifa wanaokuja pale.
 
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.

Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.

Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.

Source: Wasafi Media.

Je, Magufuli alikuwa ni "mtu wa Matambiko".? Kama jibu ni hapana bila shaka hata yeye hatopendezwa na jambo hilo la kufanya tambiko kaburini mwake.
 
Tangu lini serikali imeanza kuingilia utashi wa mtu binafsi.

Jambo kama hili ambalo halina madhara yeyote kwa mtu linakatazwaje ??
Musongamano Unaleta maambukizi ya Corona,si mmeona RC wa Rukwa amezuwia mkutsni wa ndani wa BAVICHA
 
JPM alikuwa mkatoriki aka Roman Cathoric kama sijakosea...sidhani kama dini yake inaruhusu matambiko.... Hili ni suala la familia zaidi sio raia tu wakurupuke na kwenda kutambika, kwa mtazamo wangu suala hili linahitaji ruhusa ya familia na serikali..
 
Back
Top Bottom