GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.
Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.
Chanzo: Wasafi Media.