RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

Kila chifu atazikwa kichifu, sasa samia aliingia mtego akakubali,siku mungu akimuita utaratibu wa machifu utafatwa😂😂😂
Ngoma inachomolewa kwenye ubao inatiwa kwenye kaniki alafu inazungushiwa ngozi ya kondoo inashikishwa mkuki kwenye mkono then inafukiwa 😂
 
Kama Wana hamu na tambiko wawasiliane na familia yao Ili wao ndio watoe kibali sio tuu kukurupuka from no where.

Unajuaje kama ni tambiko? Je kama wameenda kutaka kufukua kaburi wasepe na fuvu je.
 
Kuna sababu kuna watu huwa hawazikwi kwenye makaburi yanayojulikana, huwa inaleta shida baadae.
 
Hangaya huku anaruhusu machifu,,,, huku mteule wake anakataza matambiko..

Watamlaza nje huyo mkuu wa mkoa hadi ashangae,,,asicheze na hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…