🤣🤣🤣Hapana Hapana anaweza akafufuka kwakweli aliyoyafanya yanatosha ni muda wake apumzike tuile nchi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hapana Hapana anaweza akafufuka kwakweli aliyoyafanya yanatosha ni muda wake apumzike tuile nchi!!!
Ngoma inachomolewa kwenye ubao inatiwa kwenye kaniki alafu inazungushiwa ngozi ya kondoo inashikishwa mkuki kwenye mkono then inafukiwa 😂Kila chifu atazikwa kichifu, sasa samia aliingia mtego akakubali,siku mungu akimuita utaratibu wa machifu utafatwa😂😂😂
Mmmmh huu ndo utaratibu?Ngoma inachomolewa kwenye ubao inatiwa kwenye kaniki alafu inazungushiwa ngozi ya kondoo inashikishwa mkuki kwenye mkono then inafukiwa 😂
Alipewa kwa ufupi siku ikifika, watakao kuwepo wateleta huo mkataba in full, hakuna kupinga utaratibu utafatwakwamba yawezekana hajapewa "job description"😂 kitaumana
Hahah ndiyo maana ake.Mmmmh huu ndo utaratibu?
Kama Wana hamu na tambiko wawasiliane na familia yao Ili wao ndio watoe kibali sio tuu kukurupuka from no where.RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.
Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.
Chanzo: Wasafi Media.