RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.

Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.

Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.

Source: Wasafi Media.
Yaani tu wasije wakamfufua. Chondechonde
 
Alizikwa kichifu mkuu mambo ya sukuma land hayo ni kawaida kwa mtu maarufu.
Lini ilikuwa?...maana tuliona mazishi yake kwenye vyombo vya habari mbona haikuwa kama mnavyosema?
 
Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii alikuwa mtemi,kwa watemi tambiko Ni kitu Cha kawaida Sana RC waachie watu wakatambike, magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii alikuwa traditiolist mzuri sana
 
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.

Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.

Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.

Source: Wasafi Media.
Ushirikina ndio nguzo ya ccm
 
Hapo ni asali na sukarugulu.
Hilo halikuwa tambiko kama wanafamilia hawakuratibu.
Huo ulikuwa ushirikina.
Tamko la kuzuia lilitakiwa litolewe na msemaji wa familia.kaburi lipo ndani ya familia.
Sasa wanafamilia hawana taarifa, RC, ndio amezipata na yeye ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama, sasa tamko alitoe nani?kwani kama wangekwenda kutaka kufanya bila wanafamilia kujua, unadhani kingetokea nini?na lawama zingekuwa kwa nani, ki mamlaka?
 
Hilo kaburi limejengewa nyumba ndani ya fensi ya familia.
Wangeingiaje kutambika hao waliokusudia? Na hao watambikaji inaonekana hawakuwa na dhamira ya tambiko.Ajue mkuu wa mkoa kuliko familia.
 
Waafrika hasa watu wa kanda hiyo ni watu wa hovyo sana... nilistaajabu Magufuli kumtaja Mungu kote kule bado akazikwa kishenzi namna ile kwa kuviligwa kwenye ngozi inayotiririka damu ya mnyama!!
Acha upumbavu mbwa wewe!!

Kuwa na discipline, kwahiyo wewe ndiyo wa maana sana???

You're very ignoramus!!

What a dumbass creature.
 
Tangu lini serikali imeanza kuingilia utashi wa mtu binafsi.

Jambo kama hili ambalo halina madhara yeyote kwa mtu linakatazwaje ??
Nilichoelewa ni kwamba hilo kaburi la mpendwa wenu lipo chini ya familia hivyo rc amepata taarifa kuwa wenzako wanataka kwenda kumwaga radhi hapo kaburini bila ridhaa ya familia
 
Back
Top Bottom