Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ndiyo Ukweli Wenyewe!!!Kuna maRC wana mambo ya ajabuu. Au nasema uwongo ndugu zangu?🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Ukweli Wenyewe!!!Kuna maRC wana mambo ya ajabuu. Au nasema uwongo ndugu zangu?🤣🤣
Yaani tu wasije wakamfufua. ChondechondeRC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.
Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.
Source: Wasafi Media.
Alizikwa kichifu mkuu mambo ya sukuma land hayo ni kawaida kwa mtu maarufu....Duh!. Acha uzushi mkuu
Lini ilikuwa?...maana tuliona mazishi yake kwenye vyombo vya habari mbona haikuwa kama mnavyosema?Alizikwa kichifu mkuu mambo ya sukuma land hayo ni kawaida kwa mtu maarufu.
Ushirikina ndio nguzo ya ccmRC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote.
Amewataka wasitishe mara moja zoezi hilo la kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli na kuwataka mambo hayo wawaachie familia ya Magufuli na pia wawasiliane na familia ya marehemu Magufuli na sio tu kukurupuka na kutaka kufanya tambiko.
Source: Wasafi Media.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mzilankende RC Kazuia Tambiko Lako, Sasa Utaamua Mwenyewe!!!
Kuna Watu Wanakupuuza Huku!! Haa
Sasa wanafamilia hawana taarifa, RC, ndio amezipata na yeye ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama, sasa tamko alitoe nani?kwani kama wangekwenda kutaka kufanya bila wanafamilia kujua, unadhani kingetokea nini?na lawama zingekuwa kwa nani, ki mamlaka?Hapo ni asali na sukarugulu.
Hilo halikuwa tambiko kama wanafamilia hawakuratibu.
Huo ulikuwa ushirikina.
Tamko la kuzuia lilitakiwa litolewe na msemaji wa familia.kaburi lipo ndani ya familia.
Hilo kaburi limejengewa nyumba ndani ya fensi ya familia.Sasa wanafamilia hawana taarifa, RC, ndio amezipata na yeye ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama, sasa tamko alitoe nani?kwani kama wangekwenda kutaka kufanya bila wanafamilia kujua, unadhani kingetokea nini?na lawama zingekuwa kwa nani, ki mamlaka?
Wewe umejuaje kwamba hajuiSasa hata likifanyika yeye mwenyewe atajuaje..? unajua hata yeye kujua kwamba amekufa hajui..
Albadir ya Lissu ilizuiwa! Anayo sababu RCTangu lini serikali imeanza kuingilia utashi wa mtu binafsi.
Jambo kama hili ambalo halina madhara yeyote kwa mtu linakatazwaje ??
Acha upumbavu mbwa wewe!!Waafrika hasa watu wa kanda hiyo ni watu wa hovyo sana... nilistaajabu Magufuli kumtaja Mungu kote kule bado akazikwa kishenzi namna ile kwa kuviligwa kwenye ngozi inayotiririka damu ya mnyama!!
Duh.Kwenye hilo kundi yupo Magonjwa Mtambuka
Nilichoelewa ni kwamba hilo kaburi la mpendwa wenu lipo chini ya familia hivyo rc amepata taarifa kuwa wenzako wanataka kwenda kumwaga radhi hapo kaburini bila ridhaa ya familiaTangu lini serikali imeanza kuingilia utashi wa mtu binafsi.
Jambo kama hili ambalo halina madhara yeyote kwa mtu linakatazwaje ??
Tena huyu amepania kweri-kweri.Kwenye hilo kundi yupo Magonjwa Mtambuka
Kila chifu atazikwa kichifu, sasa samia aliingia mtego akakubali,siku mungu akimuita utaratibu wa machifu utafatwa😂😂😂inasemwa alizikwa kimila,na pia aliwahi kupewa uchifu
Hapa ndo umepigia mstari UNYANI wako.Acha upumbavu mbwa wewe!!
Kuwa na discipline, kwahiyo wewe ndiyo wa maana sana???
You're very ignoramus!!
What a dumbass creature.
kwamba yawezekana hajapewa "job description"😂 kitaumanaKila chifu atazikwa kichifu, sasa samia aliingia mtego akakubali,siku mungu akimuita utaratibu wa machifu utafatwa😂😂😂