RC Geita: Rais Magufuli ni Nabii aliyebarikiwa na Mungu wagombea wengine wanamsindikiza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.

Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.

RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
 
Kama roho mtakatifu anakaa kwa Magufuli huku makanisani Kuna Nini Sasa? Wanampokeaje roho mtakatifu wakati keshahama makanisani yuko Chato nyumbani kwa Magufuli?
 
Bwashee nyumbani kwa Magufuli maana yake ni ndani ya mwili wake.

Kanisa siyo jengo ni watu!
 
Kama roho mtakatifu anakaa kwa Magufuli huku makanisani Kuna Nini Sasa? Wanampokeaje roho mtakatifu wakati keshahama makanisani yuko Chato nyumbani kwa Magufuli?
Ni Roho Mtakatifu, siyo roho mtakatifu
Roho Mtakatifu ni "roho" na hivyo anaweza kuwepo mahali popote pale anapopendezwa kuwepo na wakati wowote ule. In fact, anaweza kuwa kila mahali, ni nafsi ya tatu ya Mungu. Mungu yupo kila mahali!
 
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.

Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.

RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Acheni kukufuru nyie, Watu Kibiti zaidi ya 300+ wameuawa , Ben na Azory wameuawa na MTU FURANI kisha mnasema ni NABII.
 
Wewe RC usipofanya hivyo unateteaje ugali wako..tumekuelewa!! ila wewe cha mtoto mwenzako alimwita si Nabii bali Mesiya kabisa yaani Yesu Kristo..... Kwa hiyo njaa zenu zinazidiana.
 
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.

Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.

RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
CCM imekosa watu kabisa!
 
Wewe RC usipofanya hivyo unateteaje ugali wako..tumekuelewa!! ila wewe cha mtoto mwenzako alimwita si Nabii bali Mesiya kabisa yaani Yesu Kristo..... Kwa hiyo njaa zenu zinazidiana.
Bwashee Yesu ni nabii pia!
 
Ni katika kutetea matumbo yao tuuu!Na ole wao waingize nchi hii kwenye udikteta,watoto wao pamoja na wajukuu wao watalipa kwa jasho na damu!
 
Acheni KUKUFURU kumpa huyo dikteta UTUKUFU asiokuwa nao. Mtu mwenye chuki na roho mbaya kiasi hicho na utukufu wapi na wapi!? 😳😳😳😳
 
Kibiti kuna magaidi lakini wamedhibitiwa!
Acha Kibiti, mumesema hata mashehe wetu walio gerezani miaka kadhaa sasa wakiteseka mmesema ni magaidi. Hiyo maana yake waislamu wote ni magaidi, lakini kwa vile wamelishwa limbwata badala ya kuona utawala wa ccm ni adui yao wao wanaona ndio wakombozi wao.

Nikikutana na muislamu kavaa sare ya ccm huwa namuonea huruma kwa ujinga huo
 
Uislamu ni dini ya amani!
 
Acheni KUKUFURU kumpa huyo dikteta UTUKUFU asiokuwa nao. Mtu mwenye chuki na roho mbaya kiasi hicho na utukufu wapi na wapi!? 😳😳😳😳
Waovu ndio wanamuona ana roho mbaya!
 
Wewe unatetea nini bwashee?!
Nasikia huyu jamaa akishamaliza kuwabatiza upinzani kwa maji anakuja kwenu kuwabatiza kwa moto!
1592575.jpg
 
Back
Top Bottom