mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
AhmadaNasikia huyu jamaa akishamaliza kuwabatiza upinzani kwa maji anakuja kwenu kuwabatiza kwa moto!View attachment 1486002
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhmadaNasikia huyu jamaa akishamaliza kuwabatiza upinzani kwa maji anakuja kwenu kuwabatiza kwa moto!View attachment 1486002
Dikteta Idd Amini alikuwa akibebwa na vijakazi na vipakasi wake na mwisho wake wote tunaujua.Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.
RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Photoshop hivyo hakuna uhalisia wowote.
Ndiyo maana mimi huyu jamaa huwa nampuuzia!Namuona kama zezeta hivi yaani!Photoshop hivyo hakuna uhalisia wowote.
Ahmada ndani ya chako ni chakoPhotoshop hivyo hakuna uhalisia wowote.
Ni mjinga tu Kama wewe ndio atadhani hii Ni fotoshop [emoji23][emoji1787][emoji2960]Ndiyo maana mimi huyu jamaa huwa nampuuzia!Namuona kama zezeta hivi yaani!
Waovu ndio wanamuona ana roho mbaya!
RC kasema roho mtakatifu kahamia Chato nyumbani kwa Magufuli. Je ni sahihi? Wengine tutampataje?Aliyekwambia Roho Mtakatifu anapatikana Makanisani tu ni nani? Ni Biblia ipi hiyo iliyoandikwa hivyo?
Hizi kufuru zina matokeo mabaya sana. Si sahihi kulichezea jina la Mungu, Roho wake wala viumbe vitakatifu vya kimbingu. Washauri wa Rais wajaribu kumshauri awaepuke, kuwakanya na kukaa mbali na wapambe wenye kumpa sifa za namna hii. Hakika BWANA huwa hachelewi kujibu.Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.
RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Roho mtakatifu yupo mahali pote!RC kasema roho mtakatifu kahamia Chato nyumbani kwa Magufuli. Je ni sahihi? Wengine tutampataje?
Ben na Azory nao ni MAGAIDI? Mbona wameuawa na MTU FURANI?Kibiti kuna magaidi lakini wamedhibitiwa!
Mfuate huko huko ChatoRC kasema roho mtakatifu kahamia Chato nyumbani kwa Magufuli. Je ni sahihi? Wengine tutampataje?
Sasa aliyekuwa anatembea Hadi akafika na kukaa Chato nyumbani kwa Magufuli ni yupi?Roho mtakatifu yupo mahali pote!