Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Basi Magufuli ana sifa ya uungu hivyo sio tatizo kumwita mungu
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.
RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!