johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama roho mtakatifu anakaa kwa Magufuli huku makanisani Kuna Nini Sasa? Wanampokeaje roho mtakatifu wakati keshahama makanisani yuko Chato nyumbani kwa Magufuli?Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.
RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Bwashee nyumbani kwa Magufuli maana yake ni ndani ya mwili wake.Kama roho mtakatifu anakaa kwa Magufuli huku makanisani Kuna Nini Sasa? Wanampokeaje roho mtakatifu wakati keshahama makanisani yuko Chato nyumbani kwa Magufuli?
Ni Roho Mtakatifu, siyo roho mtakatifuKama roho mtakatifu anakaa kwa Magufuli huku makanisani Kuna Nini Sasa? Wanampokeaje roho mtakatifu wakati keshahama makanisani yuko Chato nyumbani kwa Magufuli?
Hapa umedandia nini bwashee!Mnaendelea kupoteza umaarufu kwa kudandia dandia hotuba na matukio.
Mko hoi sana mpaka mnatia huruma!
Acheni kukufuru nyie, Watu Kibiti zaidi ya 300+ wameuawa , Ben na Azory wameuawa na MTU FURANI kisha mnasema ni NABII.Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.
RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Kibiti kuna magaidi lakini wamedhibitiwa!Acheni kukufuru nyie, Watu Kibiti zaidi ya 300+ wameuawa , Ben na Azory wameuawa na MTU FURANI kisha mnasema ni NABII.
CCM imekosa watu kabisa!Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli.
Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine wanaochukua fomu ni wapambe tu wanaomsindikiza.
RC Gabriel Robert amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa kivuko katika hifadhi ya taifs kisiwa cha Rubondo mbele ya mgeni rasmi Katibu mkuu Kiongozi Dr Kijazi
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Bwashee Yesu ni nabii pia!Wewe RC usipofanya hivyo unateteaje ugali wako..tumekuelewa!! ila wewe cha mtoto mwenzako alimwita si Nabii bali Mesiya kabisa yaani Yesu Kristo..... Kwa hiyo njaa zenu zinazidiana.
CHADEMA imekosa nini bwashee?!CCM imekosa watu kabisa!
Wewe unatetea nini bwashee?!Ni kutetea matumbo yao tuu!
Aliyekwambia Roho Mtakatifu anapatikana Makanisani tu ni nani? Ni Biblia ipi hiyo iliyoandikwa hivyo?Kama roho mtakatifu anakaa kwa Magufuli huku makanisani Kuna Nini Sasa? Wanampokeaje roho mtakatifu wakati keshahama makanisani yuko Chato nyumbani kwa Magufuli?
Acha Kibiti, mumesema hata mashehe wetu walio gerezani miaka kadhaa sasa wakiteseka mmesema ni magaidi. Hiyo maana yake waislamu wote ni magaidi, lakini kwa vile wamelishwa limbwata badala ya kuona utawala wa ccm ni adui yao wao wanaona ndio wakombozi wao.Kibiti kuna magaidi lakini wamedhibitiwa!
Uislamu ni dini ya amani!Acha Kibiti, mumesema hata mashehe wetu walio gerezani miaka kadhaa sasa wakiteseka mmesema ni magaidi. Hiyo maana yake waislamu wote ni magaidi, lakini kwa vile wamelishwa limbwata badala ya kuona utawala wa ccm ni adui yao wao wanaona ndio wakombozi wao.
Nikikutana na muislamu kavaa sare ya ccm huwa namuonea huruma kwa ujinga huo
Waovu ndio wanamuona ana roho mbaya!Acheni KUKUFURU kumpa huyo dikteta UTUKUFU asiokuwa nao. Mtu mwenye chuki na roho mbaya kiasi hicho na utukufu wapi na wapi!? π³π³π³π³
Nasikia huyu jamaa akishamaliza kuwabatiza upinzani kwa maji anakuja kwenu kuwabatiza kwa moto!Wewe unatetea nini bwashee?!