RC Geita: Rais Magufuli ni Nabii aliyebarikiwa na Mungu wagombea wengine wanamsindikiza!

Yeye hujiita malaika(kiongozi wa malaika), wengine humuita yesu, na wengine sasa wanamuita nabii.

hizi kufuru hazitaiacha nchi salama.
 
Dikteta Idd Amini alikuwa akibebwa na vijakazi na vipakasi wake na mwisho wake wote tunaujua.
 
Viongozi wa Tanzania wana matatizo, huyu yesu mpya mjini leo amekua nabii
 
Kauli ya kuthibitisha uovu wake hii hapa. Kawaacha Watanzania wengi wakiwa hawana sehemu ya kuishi kwa bomoa bomoa, kawaua wengi sana wakiwemo Ben, Azory Mawazo na mama yake Kabendera, kawabambikia kesi fake wengi kuwaharibia maisha yao. Achilia mbali wizi na ufisadi alioufanya hazina wa trillions za walipa kodi. Kadhulumu wahanga wa tetemeko, wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara.


Waovu ndio wanamuona ana roho mbaya!
 
kipindi cha kujipendekeza huu

Katibu mkuu kiongozi na uzinduzi wa Kivuko 😎
 
Hizi kufuru zina matokeo mabaya sana. Si sahihi kulichezea jina la Mungu, Roho wake wala viumbe vitakatifu vya kimbingu. Washauri wa Rais wajaribu kumshauri awaepuke, kuwakanya na kukaa mbali na wapambe wenye kumpa sifa za namna hii. Hakika BWANA huwa hachelewi kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…