RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi

Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja, Mshikamano na Ushieikiano ili kuujenga Mkoa wa Mara

Mheshimiwa Hapi aliwaomba wana Mara kuliombea Taifa na Rais Samia Suluhu Hassani

Hongera sana RC Hapi kwa kuwa mnyenyekevu mbele za Mungu

FB_IMG_16240865937538949.jpg
 
Nanukuu "Mahakama zeetu zimejaa..."

Namwona alitaka kusema zimejaa rushwa ila amepindisha kuogopa kusutwa 🤣

Enzi za Mwendazake angenyoosha statement👉
Loh!!! Wewe umezoa rushwa, ubadhirifu na ufisadi hadi kila likitajwa tu neno ^mahakama,^ basi unaikumbuka ngozi yako. Hii ni hatari sana!!!
 
Wadau wa JF

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara...
Hii nchi kama hujui ku-manoeurve kulingana na nyakati kwa kutumia ufundi mkubwa wa usanii cheo utasikia kwenye redio tu. Unatakiwa umsome kwanza anayeteua ana mwelekeo gani halafu utumie kila fursa iliyo mbele yako kumfurahisha ili azidi kukupenda.

Wakati wa Magufuli habari ya mjini ilikuwani kuigiza kufoka. Wakati wa mama Samia mambo nayo yanaanza kubadilika. BTW wanasiasa wetu ni wataalam wa kila kitu. Dini, Afya, Sheria etc...
 
Back
Top Bottom