RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

Hamna kitu hapo, ujinga mtupu yeye ni kiongozi wa kisiasa asiingilie mambo ya dini, kama anaenda kuswali akaswali ila sio kujificha kwenye kivuli cha dini. asitafute huruma
unaweza ukaenda msikitini kwa lengo la kuswari Kama muumini wa kawaida Kama wengine lkn kutokana na position yako ,utapewa tu muda wa kutoa neno ,hata Kama hukuomba hiyo time,ukiwa kiongozi Mara nyngi watu hupenda waskie Jambo .so ni kawaida mkuu .
 
Huyo ni kiongozi lazima akipata nafasi atoe neno. Hutaki kajinyonge.
Hamna kitu hapo, ujinga mtupu yeye ni kiongozi wa kisiasa asiingilie mambo ya dini, kama anaenda kuswali akaswali ila sio kujificha kwenye kivuli cha dini. asitafute huruma
 
Mara pa kawaida tu wala siyo pagumu kwa kuongoza kama unavyofikiri
Huyu mjomba sema kila mkoa anaokwenda yeye hudili na misikiti tuu ila watu wa kanisa kinyongee ila hiyo ni mara ukicheza tu imekula kwako
 
Asante kwanza kwa kutokua na jazba halafu kwa elm.
 
Dini haijachanganywa na siasa ?? Nimeuliza kujiridhisha....! Siku akisimama mtu humo akasema tofauti na matarajio ya serikali...??!!
 
Sina shari yoyote ndugu kwani hajulikani alivyo, mtu akiwa kiongozi ndo wamsujudu adi viongozi wa dini wanampa nafasi zao
We unajua kama ni vibaya mtu yeyote kuswalisha kama ana elimu ya swala?
 
Hawa mashehe ubwabwa wanatia aibu.
Ina maana Musoma Kuna uhaba wa maimamu kiasi hicho? Si mje Sumbawanga mvhukue hata watatu.....
Sumbawanga yule Sheikh alikua anasumbuliwa na RPC kuhusu ujenzi wa msikiti mpaka aligoma enzi za utawala wa moto namkubali sana sijui anaitwa nani alikua Sheihk Mkuu wa Mkoa...
 
Unyenyekevu kaanza kuujua lini huyo mhuni!? Si yeye huyo aliyetishia kumtwanga Kikwete!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…