johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mpumbavu huyu dogoMkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Mazoezi ya mara moja kwa mwezi hayawezi kuepusha ugonjwa wowote.. Atakuwa anatafuta KiKi huyu.Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Kama namuona mchungaji Msigwa akiongoza mazoezi kule Kihesa!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kidikteta UCHWARA kingine na hili litafeli tu. Eti hatua za kisheria zitachukuliwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣atawafukuza kazi au kuwaweka rumande? MPUUZI kweli huyu!
Sheria ya kukaidi amri halali ya serikali!Mazoezi ya mara moja kwa mwezi hayawezi kuepusha ugonjwa.. Atakuwa anatafuta KiKi.
Afu, wasiofanya atawashitaki kwa sheria ipi?!
Kule Mtwara wameagizwa kuwa na mashamba ya korosho,
Arusha kule ni viboko tu,
Haya yetu macho.
Kwanini bwashee?!Eh! Wameshakwiba password ya huyu.
Mazoezi mbalimbali bwashee!
Kazi za msingi za serikali ni pamoja na kuwaletea maendeleo wananchi.Si upuuzi kama huo.Waletee wananchi maendeleo kwanza,mazoezi watafanya wenyewe.Mkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Kama Tundu Lissu!LLB (UDSM), MBA (UDSM)....ndo wasomi wetu hao!
Sipati picha Kasesela atakapomtandika viboko mchungaji Msigwa!Usiposhiriki mazoezi unatandikwa viboko hadharani
Asijisahau sana, atalazwa tena makaburiniMkuu wa mkoa wa Iringa Salum Happi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Happi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya mazoezi ya Umma ambapo watumishi wote na wananchi kwa ujumla watapaswa kufanya mazoezi.
Watakaopuuza hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Eh! Wameshakwiba password ya huyu.