RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

Kuna Watu wanaenda kusali Jmosi. Apange siku nyingine.
 
Hiki kitoto kinakurupuka tena..
Jumamosi ni siku ya mapumziko
Angekuwa serious angefanya siku ya kazi
Naunga mkono hio siku ya kazi.

Wavae nguo za kufanya mazoezi kabisa wakitoka majumbani. Watumie lisaa limoja kufanya mazoezi kabla ya kazi au baada ya kazi. Ni vizuri kabla ya kazi kwani mwili unakuwa na nguvu asubuhi na itawasaidia kuwaamsha wafanye kazi vizuri.
 
Wakimbizwe huku wakipanda malima Kitonga
 
Wasabato watafanya jumapili.....
Siku ya familia hiyo. Ndio siku pekee kuna nafasi ya kukaa na familia kama familia esp walioajiriwa sekta binafsi kazi mpaka Jumamosi. Apange siku nyingine.
 
Siku ya familia hiyo. Ndio siku pekee kuna nafasi ya kukaa na familia kama familia esp walioajiriwa sekta binafsi kazi mpaka Jumamosi. Apange siku nyingine.
It's simple.. Mfanye jumamosi kama kawaida, Wasabato Mfanye jumapili peke yenu. Kwanza Wasabato wengi mazoezi wanafanya jumapili asubuhi hii inafanyika maeneo mengi nchini. Pili penye excuse ya jumamosi Wasabato huwa wanafanya jumapili either makazini au mashuleni hadi mitihani wanafanya wenyewe jumapili wakati wenzao walifanya jumamosi
 
Hakika hili ni jambo jema ! Hongera kwa RC, zoezi hili likifanikiwa litaongeza ukakamavu na uzalendo.
 
Kuna mambo katika maisha ni behavioural, it needs physiological change to individual. Mazoezi ni moja ya jambo linalohitaji utayari physiological. Bila kuwabadilisha wananchi kwa namna hiyo itakuwa ni kazi bure.

Mimi ni mmoja wa wanaofanya mazoezi sana, nimefanikiwa kwa sababu niliamua kubadili maisha yangu kuanzia ulaji, unywaji, mazoezi etc. baadae nilihamia kumbadilisha wife na baadae kwa watoto, naweza sema nimefanikiwa kuwabadilisha physiological na sasa wanapenda sana mazoezi hasa jogging ambayo kimsingi ndio imenikata kabisa weight na kuweka mwili wangu pasipo na chembe ya dalili hata ya kitambi and am maintaning hali hii.

So ngazi za familia zihamasishwe, wakuu wa kaya wabadilishwe wao, na wao watawabadilisha wanafamilia wengine.
 
Haiwezekani.
Gharama za kuhakikisha kila mtu analazimishwa kufanya mazoezi bila ridhaa nani atazigharamia? Kumlipa mtu wa kuchukua majina ya wahudhuriaji kila siku, na watu watakaotoa maandalizi ya kuwaadhibu wasiokuja.
 
Sheria namba ngapi ya mwaka gani na adhabu yake inasemaje? Kama hakuna basi hayo ni maagizo ya kijinga yaliyotolewa na mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…