RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine.

Homera.jpg

Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza majina ya watendaji waliofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato.

Amesema kuanzia leo watendaji walioshindwa kufanya vizuri wapangiwe kazi nyingine ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato kwenye Wilaya hiyo na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo.

“Nimefurahishwa na ubunifu wenu wa kuwapongeza watendaji wanaofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mazao naomba kila wilaya iige mfano huu lakini niweke wazi kuwa kwa wote ambao hawajafanya vizuri wapangiwe kazi aidha wapelekwe kwenye vituo vingine vya kazi wakajifunze namna ya kukusanya mapato,” amesema Homera.

Aidha Homera amewataka madiwani wa Halmashauri hiyo kuendelea kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Chanzo: Nipashe
 
Sasa huo ni upuuuzi,, kwani kila kita ina viwanda,, au ina resources za kuingiza pesa,, sasa kama Iziwa ina resources gani,, acheni madaraka ya kulevya,,
Nyie ndiyo muwaongezee au muwasaidie kutafuta vyanzo vya mapato
 
Homera awavaa watendaji kata walioshinwa kufikia malengo

homera.jpeg

Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza majina ya watendaji waliofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato.

Amesema kuanzia leo watendaji walioshindwa kufanya vizuri wapangiwe kazi nyingine ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato kwenye Wilaya hiyo na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo.

“Nimefurahishwa na ubunifu wenu wa kuwapongeza watendaji wanaofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mazao naomba kila wilaya iige mfano huu lakini niweke wazi kuwa kwa wote ambao hawajafanya vizuri wapangiwe kazi aidha wapelekwe kwenye vituo vingine vya kazi wakajifunze namna ya kukusanya mapato,” amesema Homera.

Aidha Homera amewataka madiwani wa Halmashauri hiyo kuendelea kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Nipashe
 
Ajue kwanza sababu za kushindwa kwao kufikia malengo, ndiyo afanye uamuzi sahihi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine.

Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza majina ya watendaji waliofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato.

Amesema kuanzia leo watendaji walioshindwa kufanya vizuri wapangiwe kazi nyingine ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato kwenye Wilaya hiyo na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo.

“Nimefurahishwa na ubunifu wenu wa kuwapongeza watendaji wanaofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mazao naomba kila wilaya iige mfano huu lakini niweke wazi kuwa kwa wote ambao hawajafanya vizuri wapangiwe kazi aidha wapelekwe kwenye vituo vingine vya kazi wakajifunze namna ya kukusanya mapato,” amesema Homera.

Aidha Homera amewataka madiwani wa Halmashauri hiyo kuendelea kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Chanzo: Nipashe
Hizo pesa huku kitaa hamna
 
Back
Top Bottom