Tumbili kawa mtu wa promo kama mwendazake.... namjua vizuri sana kwa kutafuta safa za kipuuziNi yeye kweli umepatia
hiki chuma kinapiga sana kazi huko simiyuuView attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Huyu sio mda ,cheo kitayeyuka, amefanya vizuri, ila lazima ziuliza kwamba Iyo kitu imetokea KWa bahati mbaya? Kama sio ajue nyuma Kuna watu wameshiriki, na kupata 10 % je watakubali? Mda ni mwalim, kuwa smart katika Taifa hili inabidi ujipange kweli, vinginevyo ni shida tupuView attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
😄🤣Ndio nilichoshangaa na mimi. Mkuu wa Mkoa na barabara wapi?
TANROADS haina mkurugenzi mkuu.Mkurugenzi wa TANROADS alikuwa wapi
Tanzaania Mabarabara mengi yamejengwa chini ya kiwango, hivi sasa kila barabara inaviraka,
#Tunahitaji akinakafulila wengi Sana Tanzania
Safi sana
Ova
Tukumbushane.View attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
OkayRC ndio Rais wa mkoa, muwe mnajiendeleza
Ni mjanga snkawa mtu wa promo kama mwendazake.... namjua vizuri sana kwa kutafuta safa za kipuuzi
Kafulila njema Sana,View attachment 2290873

View attachment 2290873

Beberu ni mtu gani?Kwani wachina nao ni mabeberu? Au hii ni ile mambo yetu ya RC au washirika wake kujianzishia nyuzi?
Yeah, ni kweli kabisa! Zao la upinzani hilo!Jamaa anajitahidi Sana
Kawanyoosha vipi?kwa kuwaambia waludie kujenga?umejiuliza walipataje hiyo tenda?wao ndio wanatunyoosha,wanatoa Rushwa tenda inakuwa ya bei kubwa,Cha juu wanakula watendaji serikalini,mwishoni ni mwananch ndio ananyooshwaView attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Hiyo 15b ni ndogo kama sio kunyooshwa?Kawanyoosha vipi?kwa kuwaambia waludie kujenga?umejiuliza walipataje hiyo tenda?wao ndio wanatunyoosha,wanatoa Rushwa tenda inakuwa ya bei kubwa,Cha juu wanakula watendaji serikalini,mwishoni ni mwananch ndio ananyooshwa