RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL

View attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.

==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,

Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,

Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,

Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.

Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,

" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.

Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.

Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,

Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,

" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.

Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..

Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi

" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.

Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.

Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?

Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia

#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
hiki chuma kinapiga sana kazi huko simiyuu
 
Huyu sio mda ,cheo kitayeyuka, amefanya vizuri, ila lazima ziuliza kwamba Iyo kitu imetokea KWa bahati mbaya? Kama sio ajue nyuma Kuna watu wameshiriki, na kupata 10 % je watakubali? Mda ni mwalim, kuwa smart katika Taifa hili inabidi ujipange kweli, vinginevyo ni shida tupu
 
Haya matender ni bomu sana!
Maana wachina wanaweka bei za chini alafu pesa ya kuhonga mwanzo wa tender ni nyingi mno! Kwa hiyo lazima wapate wao tender na matokeo yake ndio ushenzi mtupu [emoji2959]
 
Nimepita hapo juzi, ni hovyo sana, walichukua udongo wa shambani wakaweka barabarani, badala ya changarawe, halafu sasahivi wamekwangua lami wakaacha, mkifika hapo mnakula chocho aka diversion, juzi nusura basi niingie kwenye nyumba ya bibi mmoja, hivi kwanini tusitunge sheria ya kuwanyonga Hawa wa china,
 
Safi sana

Ova
Road-Tripping-denmark-853502_1920_1440.jpg
 
hawahawa wanajenga ofisi ya hal Mashauri magu, miaka mitano hata kupaua wameshindwa, hivi kujenga jengo la gorofa mbili tunahitaji wa china? Hii kazi mbona hata sumajkt wanaweza
 
View attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.

==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,

Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,

Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,

Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.

Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,

" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.

Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.

Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,

Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,

" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.

Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..

Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi

" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.

Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.

Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?

Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia

#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Tukumbushane.

Agenda kuu nchini Kwa sasa ni KATIBA mpya.

Rasimu ya Judge Warioba irudi mezani, Tuanzie mjadala hapo.

Amen.
 
Mwendokasi Mbagara ni uharibifu wa pesa
 
Kafulila njema Sana,
 
Kwani wachina nao ni mabeberu? Au hii ni ile mambo yetu ya RC au washirika wake kujianzishia nyuzi?
 
Kawanyoosha vipi?kwa kuwaambia waludie kujenga?umejiuliza walipataje hiyo tenda?wao ndio wanatunyoosha,wanatoa Rushwa tenda inakuwa ya bei kubwa,Cha juu wanakula watendaji serikalini,mwishoni ni mwananch ndio ananyooshwa
 
Hiyo 15b ni ndogo kama sio kunyooshwa?
 
Back
Top Bottom