CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Chadema inawajinga wengi Sana ndio maana miaka 30 hata ofisi tu nduhuuuNdiyo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema inawajinga wengi Sana ndio maana miaka 30 hata ofisi tu nduhuuuNdiyo wewe
We mbona bado kwenu mnaishi kwenye nyumba za tembe tangu 1961?Chadema inawajinga wengi Sana ndio maana miaka 30 hata ofisi tu nduhuuu
Wewe ni chizi sio bure,We mbona bado kwenu mnaishi kwenye nyumba za tembe tangu 1961?
Endelea na moto ule ule wa kupandisha nyuzi za kafulila humu ndio tutajiridhisha kuwa wewe hukuwa chawa wake. Kwisha habari yenu kmmmk. Na bado!!!!!!Wewe ni chizi sio bure,
Leo umekula lakini? Kafulila anapokea tena simu zako mkuu? Kwisha habari yenu kmmmk!!!!!Maswali gani haya hapa kwa Great thinkers zeebaba
Kafulila hana pesa ya kunipa mimi,Endelea na moto ule ule wa kupandisha nyuzi za kafulila humu ndio tutajiridhisha kuwa wewe hukuwa chawa wake. Kwisha habari yenu kmmmk. Na bado!!!!!!
maajabu matupu aiseMkurugenzi wa TANROADS alikuwa wapi
Waziri wa ujenzi naye alikuwa wapi
Team ya ufundi ya TANROADS inafanya nini mpaka RC abaini makosa yote hayo tena ya kitaalamu
View attachment 2290873
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75. Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa.
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni 5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya. Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo, RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATV amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika.
"Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu. Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia. Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa, "mbali ya kurudia barabara, pia mshauri mwelekezi(consultant) alibadilishwa. Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona serikali sasa itapokea barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali."
"Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango. Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya barabara na hata miradi mingine, thamani ya pesa(value for money) inaonekana. Wakandarasi wababaishaji hawana nafasi, nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu," alisisitiza zaidi.
"Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana. Yaani gharama kilomita 1 ya lami ni takribani 1.5 bn., pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya. Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhitaji mabilioni mengine ya ukarabati? Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sita, na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu, " alimalizia.
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!