RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL

Hapa naona sisi tuko tayari huhesabiwa siyo mbaya tukahesabiwe tu.
 
Tanzaania Mabarabara mengi yamejengwa chini ya kiwango, hivi sasa kila barabara inaviraka,

#Tunahitaji akinakafulila wengi Sana Tanzania
Njoo ukomenti tena huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila huyu mwamba ni balaa Sana, tutamkumbuka daima wanasimiyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…