Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
😁😁😁Au bwana RC damu haikumrukia akaona isiwe tabu [emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Au bwana RC damu haikumrukia akaona isiwe tabu [emoji1][emoji1]
Daaah, kila mtu mawazo yake yaheshimiweRC bora Tanzania Kafulila kwa sasa hakuna ubishi
Ukweli ndio huoDaaah, kila mtu mawazo yake yaheshimiwe
Mtaka tangu aende Dodoma makali yamepunguaRC bora Tanzania Kafulila kwa sasa hakuna ubishi
Sijui kwanini aise, Huenda Dodoma kila kitu kiko sawa, au ameridhika tu na alichonacho,Mtaka tangu aende Dodoma makali yamepungua
Sijui kwanini aise, Huenda Dodoma kila kitu kiko sawa, au ameridhika tu na alichonacho
Hapa naona sisi tuko tayari huhesabiwa siyo mbaya tukahesabiwe tu.View attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Tuko tayari,Hapa naona sisi tuko tayari huhesabiwa siyo mbaya tukahesabiwe tu.
Wakae wapi, achana na Kafulila kabisa,Halafu TARURA na TANROADS bado wanakalia viti vyao!!???
Kafulila yuko na akili SanaCCM mbele kwa mbele
Nadhani hili halitafutika kamwe kwa Wanasimiyu, tumbili alikuwa anatisha sana aiseKafulila yuko na akili Sana
Njoo ukomenti tena huku 😂😂😂Tanzaania Mabarabara mengi yamejengwa chini ya kiwango, hivi sasa kila barabara inaviraka,
#Tunahitaji akinakafulila wengi Sana Tanzania
😍😍😍Tanzaania Mabarabara mengi yamejengwa chini ya kiwango, hivi sasa kila barabara inaviraka,
#Tunahitaji akinakafulila wengi Sana Tanzania
Ila huyu mwamba ni balaa Sana, tutamkumbuka daima wanasimiyuView attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Sawa nini?Hapo sawa