Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
- Thread starter
- #41
Kafulila ni CCM,Yeah, ni kweli kabisa! Zao la upinzani hilo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila ni CCM,Yeah, ni kweli kabisa! Zao la upinzani hilo!
Hili ni kweli,Mwendokasi Mbagara ni uharibifu wa pesa
Serikali yetu imejaa majizi na matapeli tupuKawanyoosha vipi?kwa kuwaambia waludie kujenga?umejiuliza walipataje hiyo tenda?wao ndio wanatunyoosha,wanatoa Rushwa tenda inakuwa ya bei kubwa,Cha juu wanakula watendaji serikalini,mwishoni ni mwananch ndio ananyooshwa
hasa hasa ma DJsSerikali yetu imejaa majizi na matapeli tupu
Yaani Hii Nchi ina matatizo makubwa Sana ya watu waadilifu..View attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Ni uzembe wa Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Takukuru kwenye masuala hayo..Tanzaania Mabarabara mengi yamejengwa chini ya kiwango, hivi sasa kila barabara inaviraka,
#Tunahitaji akinakafulila wengi Sana Tanzania
Kafulila chapa kazi rekodi yako inafahamika tangu ulipokuwa Mbunge baadaye Katibu Tawala wa Mkoa na sasa Mkuu wa Mkoa huna jambo usilolijua kuhusu utendaji kazi wa SerikaliView attachment 2290873
KAMPUNI YA KICHINA YA CHICCO YATEKELEZA AGIZO LA RC KAFULILA, TAYARI IMEKAMILISHA MARUDIO YA BARABARA YENYE UREFU WA KILOMETA 10 ZENYE THAMANI YA TZS15BL.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57,
Ujenzi huu ulianza tangu mwaka 2018 kwa thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania billion 75,
Wachina hawa walikwaa kisiki baada ya kutakiwa kurudia ujenzi wa vipande vya barabara vinavyofikia kilometa 10 kutokana na kujenga chini ya kiwango kilichowekwa,
Agizo hilo la kutakiwa kurudia ujenzi lilitolewa na Mkuu wa Mkoa,wa Simiyu Mhe David Kafulila Juni5, 2021 ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuripoti mkoani Simiyu kama Mkuu wa Mkoa mpya.
Leo ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu agizo hilo , RC Kafulila akihojiwa na kituo cha EATv amekiri kuridhishwa na kazi iliyofanywa na kwamba ujenzi upo zaidi ya asilimia 96% kwa viwango vinavyokubalika,
" Nakumbuka ilikuwa ni wiki ya kwanza baada ya kuripoti kama RC, hii barabara niliona wakati nakuja kuripoti Simiyu.
Nilifanya ziara na Bodi ya Barabara na kuelekeza marudio ya barabara na kumwelekeza mkandarasi kurudia.
Nilimsisitiza barabara yake haitapokewa na Mhe. Rais ikiwa chini ya kiwango" alisema Kafulila na kuongeza kuwa " Mbali ya kurudia Barabara, pia mshaurimwelekezi(consultant)alibadilishwa,
Sasa watu wote wakipita wanafurahi kuona Serikali sasa itapokea Barabara imara sawa na thamani ya fedha zao wanazozitoa kupitia kodi na tozo mbalimbali,
" Huu ni ujumbe wangu kwa wakandarasi wote mkoani Simiyu, hakuna mradi utakaopokelewa ukiwa chini ya kiwango.
Kwasasa nina amani hata Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan akipita kukagua nina amani kwamba fedha iliyoletwa ndani ya mkoa wetu kwajili ya Barabara na hata miradi mingine thamani ya pesa( value for money) inaonekana..
Wakandaŕasi wababaishaji hawana nafasi...nimeshavunja na nitaendelea kuvunja mikataba na kila mbabaishaji aliyepata mradi kwa bahati mbaya Simiyu" alisisitiza zaidi
" Serikali inalaza mabilioni ya fedha barabaran ndio maana lazma kuhakikisha tunabanana.
Yaani gharama kilomita1 ya lami ni takribani 1.5bn , pesa ambazo zinatosha kukamilisha majengo ya kituo cha afya.
Sasa upewe mabilioni yote hayo na bado ukabidhi barabara ambayo baada ya mwaka tu imeharibika na kuhotaji mabilioni mengine ya ukarabati?
Huu ni ushenzi ambao hauwezi kupewa nafasi ndani ya awamu ya sitta. Na kwa upande wetu tutatimiza kipande chetu Simiyu " alimalizia
#SISITUKO TAYARI KUHESABIWA TAREHE 23/08/2022,WEWE JEE?!
Kafulila yuko vizuri Sana,Ni uzembe wa Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Takukuru kwenye masuala hayo..
Mkiwaachia Watendaji huwa Wana compromise na wakandarasi wanagawana pesa..
Hukuona yule Engineer aliyemdindishia Waziri wa Afya kwa mambo kama hayo harafu akapata na watetezi?
Mh.Rais viongozi wa kitaifa,mkibaini mambo ya hovyo kama haya muwe mnawawajibisha kuanzia RC na watendaji wengine wote waliohusika ila kuwachekea ni hatari..
Kuna mambo mengi Sana ya hovyo huwa yanafanyika harafu hatua hazichukuliwi tena wanaosimamia hufanya makusudi..
Mara nyingi sana utakuta wasimamizi kutetea hujuma za wakandarasi.
Yuko vizuri kwa sababu ni mtu mwenye hulka ya kupenda kujifunza kwa hiyo hawezi kudanganywa kirahisi na watendajiKafulila yuko vizuri Sana,
Hakika, kabisaYuko vizuri kwa sababu ni mtu mwenye hulka ya kupenda kujifunza kwa hiyo hawezi kudanganywa kirahisi na watendaji
Tanzaania Mabarabara mengi yamejengwa chini ya kiwango, hivi sasa kila barabara inaviraka,
#Tunahitaji akinakafulila wengi Sana Tanzania
Walipata 90% yao wakagawana na kusepa, wakamwachia mkandarasi 10% ya kufanyia kazi chini ya kiwango.Mkurugenzi wa TANROADS alikuwa wapi
Waziri wa ujenzi naye alikuwa wapi
Team ya ufundi ya TANROADS inafanya nini mpaka RC abaini makosa yote hayo tena ya kitaalamu
Akina nani?Walipata 90% yao wakagawana na kusepa, wakamwachia mkandarasi 10% ya kufanyia kazi chini ya kiwango.
Uwe unasoma mtiririko wa mjadala ili kuelewa ni nini watu wanajadili kabla ya kuandika.Akina nani?
Mbona hajalalamika?
SawaUwe unasoma mtiririko wa mjadala ili kuelewa ni nini watu wanajadili kabla ya kuandika.
😀😀😀 Mtaka mjanja Sana Yule mtu,Mtaka alikuwa anawaweka wanafunzi kwenye Makambi tu hajui hata nini kinaendelea