RC Kafulila: Rais Samia ni shujaa mpya wa Afrika anayechomoza kwa kasi ya ajabu

View attachment 2306439

Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu,

" Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu,

inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni Tanzania na Afrika;

Kuhakikisha Tanzania huru dhidi ya kila aina ya uvamizi ikiwemo uvamizi wa Idd Amin!

Wazee wetu walifanya Taifa letu kuwa Kitovu cha ukombozi wa Bara la Afrika , tulikua Taifa Kiongozi wa Agenda ya Afrika zama hizo.

Hivyo kumbukumbu hizi sio tu zinatukumbusha historia bali kumbukumbu hizi zinatukumbusha WAJIBU wetu na hasa kizazi cha milenia kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa Taifa Kiongozi katika Agenda ya Afrika kila zama.

Ndio sababu tunampongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa mkakati mkubwa wa kujenga diplomasia yetu na kurejesha Tanzania katika jukwaa la Kimataifa.

Rais wetu anafanya kitu kikubwa sana chenye tafsiri ya kukumbuka mashujaa wetu kwani lengo Lao ndio lengo bado; Kujenga Tanzania kubwa yenye nafasi muhimu kimataifa, kujenga Taifa kiongozi kwa bara la Afrika"- David Kafulila, wilayani Bariadi katika kumbukumbu za mashujaa!.
Mama anakuja juu Sana, kimataifa, Tumwombee sana
 
Nakubaliana na Kafulila Rais Samia ni shujaa wa Africa Mpya
 
Nafasi ya wizara ya fedha na nishati zitakuwa wazi soon, Nan anafit kukaa hapo?
 
Tumbili alicikili akiwa chawa kwa mama ndiyo atadumu,
Arudi tu aungane na Mbatia.
 
Attachments

  • 20220712_172114.jpg
    20220712_172114.jpg
    18.9 KB · Views: 5
View attachment 2306439

Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu,

" Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu,

inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni Tanzania na Afrika;

Kuhakikisha Tanzania huru dhidi ya kila aina ya uvamizi ikiwemo uvamizi wa Idd Amin!

Wazee wetu walifanya Taifa letu kuwa Kitovu cha ukombozi wa Bara la Afrika , tulikua Taifa Kiongozi wa Agenda ya Afrika zama hizo.

Hivyo kumbukumbu hizi sio tu zinatukumbusha historia bali kumbukumbu hizi zinatukumbusha WAJIBU wetu na hasa kizazi cha milenia kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa Taifa Kiongozi katika Agenda ya Afrika kila zama.

Ndio sababu tunampongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa mkakati mkubwa wa kujenga diplomasia yetu na kurejesha Tanzania katika jukwaa la Kimataifa.

Rais wetu anafanya kitu kikubwa sana chenye tafsiri ya kukumbuka mashujaa wetu kwani lengo Lao ndio lengo bado; Kujenga Tanzania kubwa yenye nafasi muhimu kimataifa, kujenga Taifa kiongozi kwa bara la Afrika"- David Kafulila, wilayani Bariadi katika kumbukumbu za mashujaa!.
Kafulila nafikiriaa kwa mbaaali Escrow ipo mtamboni imehusika na ajiandae kwa makubwa zaidi maana kwa sasa wanaopareti mfumo
 
Duh pamoja na na kusifu kote bado haikusaidia.Bora niendelee kulima vitunguu huku Dongobesh
 
View attachment 2306439

Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu,

" Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu,

inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni Tanzania na Afrika;

Kuhakikisha Tanzania huru dhidi ya kila aina ya uvamizi ikiwemo uvamizi wa Idd Amin!

Wazee wetu walifanya Taifa letu kuwa Kitovu cha ukombozi wa Bara la Afrika , tulikua Taifa Kiongozi wa Agenda ya Afrika zama hizo.

Hivyo kumbukumbu hizi sio tu zinatukumbusha historia bali kumbukumbu hizi zinatukumbusha WAJIBU wetu na hasa kizazi cha milenia kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa Taifa Kiongozi katika Agenda ya Afrika kila zama.

Ndio sababu tunampongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa mkakati mkubwa wa kujenga diplomasia yetu na kurejesha Tanzania katika jukwaa la Kimataifa.

Rais wetu anafanya kitu kikubwa sana chenye tafsiri ya kukumbuka mashujaa wetu kwani lengo Lao ndio lengo bado; Kujenga Tanzania kubwa yenye nafasi muhimu kimataifa, kujenga Taifa kiongozi kwa bara la Afrika"- David Kafulila, wilayani Bariadi katika kumbukumbu za mashujaa!.
Hakuna kama Mama Samia
 
Ila Kafulila atateuliwa kuwa balozi. Sepa yule Hapi ndo asahau kabisa kama Makonda.
 
tumbili ampeleke nani mbio huyo msaka tonge anauwezo wa kumpeleka nani mbio akae kulelewa na hawara yake kishoa mbunge fake ambaye tarehe 26/8/2022 tunamtaka mahakaman aje atueleze huo ubunge wake fake aliupataje na siku hio atakunya kabisa hapohapo mahakaman maana kibatala sio mchezo.
Daaah ,natamani ile Milembo ihamie Ufipa
 
Back
Top Bottom