RC Kagera atumbuliwa, Kanali Yahya Ramadhani Kido apewa nafasi hiyo

RC Kagera atumbuliwa, Kanali Yahya Ramadhani Kido apewa nafasi hiyo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa RC wa Kagera ameondolewa; kuna issue gani alifanya huyu?

IMG_2124.jpeg
 
Yawezekana hatoi msaada kwa watekaji na wauaji.
 
Labda aliiba waume za watu.
Na wenyewe wanapata upwiru sana baada ya kunyonya damu za wasio na hatia
 
Aliwatolea uvivu wakandarasi wa kichina wanaochelewesha miradi ya ujenzi Kagera. Mama wa watu hajui kuwa ile miradi ndo Samia na Abdul wanakula 20%.
 
Mikoa ya mipakani na nchi jirani ni ngumu kuiongoza,inatakiwa mkuu wa mkoa mwenye roho ya paka na mkali, ndio maana almost mikoa yote inayopakana na nchi jirani mara nyingi huwa inapangiwa wakuu wa mikoa wenye vyeo vikubwa jeshini. Unakuta brigedia jeneral,canal etc
 
Rich aunties wamekwaana wapiii??
😂😂😂😂😂
 
Hivi mara ya mwisho mkoa wa Kagera kupatiwa Mkuu wa Mkoa ambaye ni mwenyeji wa mkoa huo ni lini?
 
Back
Top Bottom