Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewahakikishia wanafunzi wote wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mkoani humo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari, huku akisisitiza kuwa serikali imeweka mazingira rafiki kwa kujifunzia na kuishi
Kheri James ametoa kauli hiyo Novemba 13, 2025, wakati wa ziara yake maalum ya kukagua maandalizi ya vyuo katika mkoa wa Iringa, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya serikali kuhakikisha mapokezi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza yanakwenda vizuri