RC Kheri James awahakikishia usalama wanafunzi wapya wa vyuo Iringa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewahakikishia wanafunzi wote wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mkoani humo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari, huku akisisitiza kuwa serikali imeweka mazingira rafiki kwa kujifunzia na kuishi

Kheri James ametoa kauli hiyo Novemba 13, 2025, wakati wa ziara yake maalum ya kukagua maandalizi ya vyuo katika mkoa wa Iringa, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya serikali kuhakikisha mapokezi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza yanakwenda vizuri


Your browser is not able to display this video.
 
Anawahikikishia usalamašŸ¤”hata kabla ya uchaguzi mliwahakikishia usalama pia😳.
 
Usalama upi Wakat alienda kuwatisha ili wasiandamane.

Ajue hao vijana tunawahitaji hiyo D9, najua Gen z wa vyuoni hawatatuangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…