RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Hongera kwake kwa ujasiri,kwa kuwa ameishinda hofu,na hofu ndiyo ugonjwa mkubwa kuliko Corona,bila shaka atapona na kuwa kielelezo cha uwazi na ukweli kwa viongozi wenzake.
 
Kama ni kweli atafute oxygen tank maana gafla inaweza kwenda kwenye mapafu ukashidwa kupumua
 
Mbona watu wanaponda sana Ndugu yangu? Tufanyeje sasa? Mnatuweka njia panda!!!
 
Ohoooo!!! Uliza mambo yaliyotokea stand kuu ya mabasi Nyegezi Mwanza. MTU alidondoka watu wakalamba mbio kama swala wakidai alikuwa anapiga chafya mfululizo!!
 
Kama kiongozi wa juu kama huyu mwenye ratiba inayoeleweka kwenye maisha hajui kapataje Korona, mjue hii ngoma iko out of control sasa Tanzania. Msisahau aliyetufikisha hapa.
 
Huenda hizo Maiki zimemponza,na viongozi wengi wajihadhari nazo maana huwezi jua mwandishi amepita wapi,mara kuhoji watu mitaani, mara vituo vya afya. Mungu amponye mama
Kuna siku alikuwa anaongea na waandishi wa habari
Nikona hakuvaa mask ingawa alikuwa nayo
Mungu ampe afya njema
Tujilinde kwa mda wote View attachment 1434781


Sent from my iPhone using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mtu akishakua msaluti huwa simuamini kwa lolote especially kipindi hichi ambacho serikali inatuletea mapichapicha

Inawezekana kabisa na hilo likawa picha vilevile afe tu bwana weee Argh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…