RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Hongera kwake kwa ujasiri,kwa kuwa ameishinda hofu,na hofu ndiyo ugonjwa mkubwa kuliko Corona,bila shaka atapona na kuwa kielelezo cha uwazi na ukweli kwa viongozi wenzake.
 
Kama ni kweli atafute oxygen tank maana gafla inaweza kwenda kwenye mapafu ukashidwa kupumua
 
Kukutwa 'positive" na vipimo vyetu vya corona hakumaanishi una Corona.

Kinaweza kuwa ni kirusi chochote. Cha kufanya ni kujifusha haraka sana na baada ya hapo kunywa mchanganyiko wa limao na tangawizi, uwe unakunywa moja kwa moja,
hiyo ina boost natural immunity yako na immunity yako inapambana na kirusi chochote ulichonacho haraka sana.

Wengine hawafahamu kuwa kujifusha kunakuongezea joto lamwili haraka na kuongeza joto la mwili ni njia nzuri sana ya ku boost natural immunity yako.
Mbona watu wanaponda sana Ndugu yangu? Tufanyeje sasa? Mnatuweka njia panda!!!
 
Nakushauri uache uzembe wa kutovaa barakoa, unaweza kupita sehemu mtu alipita akapiga chafya dakika 20 zilizopita, virusi viko hewani ukainhale hewa ikavipeleka moja kwa moja mapafuni bila kujijua.
Sanitizer ni kwa ajili ya virusi unavyovishika kwenye hard surface, mask ni kwa virusi vilivyoko hewani
Ohoooo!!! Uliza mambo yaliyotokea stand kuu ya mabasi Nyegezi Mwanza. MTU alidondoka watu wakalamba mbio kama swala wakidai alikuwa anapiga chafya mfululizo!!
 
Kama kiongozi wa juu kama huyu mwenye ratiba inayoeleweka kwenye maisha hajui kapataje Korona, mjue hii ngoma iko out of control sasa Tanzania. Msisahau aliyetufikisha hapa.
 
Huenda hizo Maiki zimemponza,na viongozi wengi wajihadhari nazo maana huwezi jua mwandishi amepita wapi,mara kuhoji watu mitaani, mara vituo vya afya. Mungu amponye mama
Kuna siku alikuwa anaongea na waandishi wa habari
Nikona hakuvaa mask ingawa alikuwa nayo
Mungu ampe afya njema
Tujilinde kwa mda wote View attachment 1434781


Sent from my iPhone using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mtu akishakua msaluti huwa simuamini kwa lolote especially kipindi hichi ambacho serikali inatuletea mapichapicha

Inawezekana kabisa na hilo likawa picha vilevile afe tu bwana weee Argh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom