Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Watu wengine jamani mnatia vinyaa. Mtu kutangaza anajmwa anakatazwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana'ko yupi huyo unaemuongelea?
Wake wenza?
Na wewe umechanganya.Unachanganya kuambukizwa corona, na kuugua covid-19 ni mambo mawili tofauti. Kwa maelezo haya, mama haumwi covid-19, ila anatembea akiwa ana maambukizi ya corona ambayo kutokana na wataalamu binaadamu anaweza kukaa nayo hadi siku 14 ndipo ama ataumwa, au hatoumwa.
Wewe huniwezi. Chezea hao wajukuu zako sio Mimi. Wewe ni tapeli,Umekula za uso na kila mtu juu huko mpaka unaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, mara "tapeli", mara uweke picha ina mask.
Huko kote ni kushindwa hoja, tunawafahamu nyinyi. Na tuna nyinyi mpaka uchaguzi uishe tuchukuwe tena nchi kiulaini kabisa. Mna nini sasa hivi zaidi ya kukazania corona corona,mkishindwa mnaanza mara tapeli mara tapeli la Kimataifa. Utatapatapa kila namna.
Hahahaha Hahahahaaisee huyu mama ni mmoja wa wale wasio julikana? hapo hta kirusi chenyewe kitaogopa
Mnajulikana mkishindwa hoja mnamtukana kwa maneno ya kejeli na kishenzi hata Rais itakuwa mimi au Ana Mughira?Wewe huniwezi. Chezea hao wajukuu zako sio Mimi. Wewe ni tapeli,
Hahahaha Hahahaha
Hahahaha Fauza Maaa ya kujifukiza, naona unataka kunihamishia stress zako kwa kujifanya eti mnatukana Rais, huu ni ushenzi wa hali ya juu ulionao, wapi kwenye mabishano yangu mimi na wewe nimemtaja Rais? Acha ujinga wako wewe, simama kwenye hoja, wapi nimemtaja tangu tumeanza kulumbana mimi na wewe?Mnajulikana mkishindwa hoja mnamtukana kwa maneno ya kejeli na kishenzi hata Rais itakuwa mimi au Ana Mughira?
Juu huko umekuja na kejeli kwa huyu mama utafikiri wewe ndiye una ushirika na Mungu wako. Kwangu utadunda tu...
Hapo sasa...Amejitangazaje bila ruhusa ya Mwenyekiti au PM???
Mnataka kumfanyaje mama yetu, hatutaki.Wamlete amana hospital
Miccm siipendi sana lkn Huyu mama amekua humble na muwazi sana. Namtakia afya njema apone haraka...
Fumbo!MUNGU hadhihakiwi, kile apandacho mtu ndicho atakachovuna
Mama kafanya kazi nzuri mno ya kusema ukweli na jasiri mkubwa huyu na ingewezekana akawa ndio mkuu kabisa kuliko yule aliyejificha kwao.Huyu mama ni uchochezi; karuhusiwa na nani kujitangaza ana Corona wakati anajua fika wanaotangaza Visa vyote chini ni watatu tu baada ya kuwasiliana na mmoja.
Mama sitashangaa nikukuona bechi.
I guess wewe ni mtu ambaye uko middle aged probably with a good education too,kwanini unakuwaga na lugha zisizo na ustaarabu? Ni malezi au ni nini?Mnajulikana mkishindwa hoja mnamtukana kwa maneno ya kejeli na kishenzi hata Rais itakuwa mimi au Ana Mughira?
Juu huko umekuja na kejeli kwa huyu mama utafikiri wewe ndiye una ushirika na Mungu wako. Kwangu utadunda tu.
Punde utaijuwa nini nyungu aka kujifusha au kama asemavyo Magufuli "kujifukiza" Ati mpare unajifanya huijuwi.
Utakuwa ni mjinga wa kutupwa ambae huijuwi tiba ya kujifusha "steaming" ambayo dunia nzima wanaitumia mpaka kisayansi inakubalika, tena sana tu kwa maelfu ya miaka. Lakini mnaosomea ujinga ni mengi msiyoyajuwa, hatuwashangai, tutawapa darsa tu, ya hayo na mengi mengine. Tena shukuru leo umejifunza neno jipya kutoka kwangu, kuwa hiyo kujifusha aka nyungu kimombo ni "steaming".
Wewe sasa hivi huna hoja zaidi kwenye hii mada, umebamizwa kila kona, sasa njoo na uzushi, ushuzi, bwabwaja na kuhororoja upendavyo, watu washakuona fala tu. Huna zaidi.
Asante, lakini nasikia huko Amana ndiko watu wanakimbia. Mimi nipo mkoani na nimeambiwa vipimo vinapelekwa sehemu moja tu kuchunguzwa.Nenda Amana.