Mnajulikana mkishindwa hoja mnamtukana kwa maneno ya kejeli na kishenzi hata Rais itakuwa mimi au Ana Mughira?
Juu huko umekuja na kejeli kwa huyu mama utafikiri wewe ndiye una ushirika na Mungu wako. Kwangu utadunda tu.
Punde utaijuwa nini nyungu aka kujifusha au kama asemavyo Magufuli "kujifukiza" Ati mpare unajifanya huijuwi.
Utakuwa ni mjinga wa kutupwa ambae huijuwi tiba ya kujifusha "steaming" ambayo dunia nzima wanaitumia mpaka kisayansi inakubalika, tena sana tu kwa maelfu ya miaka. Lakini mnaosomea ujinga ni mengi msiyoyajuwa, hatuwashangai, tutawapa darsa tu, ya hayo na mengi mengine. Tena shukuru leo umejifunza neno jipya kutoka kwangu, kuwa hiyo kujifusha aka nyungu kimombo ni "steaming".
Wewe sasa hivi huna hoja zaidi kwenye hii mada, umebamizwa kila kona, sasa njoo na uzushi, ushuzi, bwabwaja na kuhororoja upendavyo, watu washakuona fala tu. Huna zaidi.