RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Kuna nini tena ..kwani alienda kugawa maski kitaa au
 
Hekima ya viongozi Kama Hawa ndio inaweza kuiponya Nchi, Rais angekuwa na washauri wenye hekima Kama huyu nadhani angekuwa Rais Bora.

Senegal wametengeneza vifaa vyao vya kupima raia Nchi nzima sisi kwetu tunasubiri mpk mtu ajipeleke? Haya Mama huyu asingeongozwa na hekima ya mungu angeambukiza wangapi/ameshaambukiza wangapi??.

Inasikitisha Sana Kama tumepata uwezo wakununua ndege by cash money tunakuja kukosa pesa ya kununua vifaa vya kupimia walipa Kodi😭😭😭, pesa zinazochangwa na watu na taasisi binafsi zinafanya kazi gani??, Serikali Haina pesa za majanga??.

Kiukweli inasikitisha na INAUMA sana, wale waliokuwa wanaukejeli na kuwakejeli watanzania kuwa Corona ni ugonjwa mdogo hawawezii kufunga mipaka, kuzuia watalii leo hawaonekani tena!! Wameenda wapi? Waje watuonyeshe huo upendo wao kwetu katika kipindi kigumu Kama hiki, Bashiru, polepole, makonda mko wapi nyie ndio wapambanaji wetu njooni.

Hongera waziri mkuu kassim majaliwa, 2025 Kama ntakuwa hai basi ntakuchukulia fomu ya kugombea urais unafaa kuwa jemedali wa Vita huna chembe ya unafiki.

Hongera ummy mwalim tunajua unayoyapitia lkn umeonesha kujitoa ktk wakati mgumu.
 
Mungu amlinde huyu mama. Ujasiri wa kujitangaza katika nchi hii hakuna. Ameweka ajira yake kwenye mstari kwa kujitangaza. Yule bwana akimsikia sijui kama atamwacha.
Wamejitangaza kina Pierre liquid unashangaa huyo
 
Kukutwa 'positive" na vipimo vyetu vya corona hakumaanishi una Corona.

Kinaweza kuwa ni kirusi chochote. Cha kufanya ni kujifusha haraka sana na baada ya hapo kunywa mchanganyiko wa limao na tangawizi, uwe unakunywa moja kwa moja,
hiyo ina boost natural immunity yako na immunity yako inapambana na kirusi chochote ulichonacho haraka sana.

Wengine hawafahamu kuwa kujifusha kunakuongezea joto lamwili haraka na kuongeza joto la mwili ni njia nzuri sana ya ku boost natural immunity yako.
 
Inasikitisha. Mbona mwananchi wa kawaida ambaye ni asymptomatic haruhusiwi kupimwa? Watu wanaambiwa lazima wawe na dalili za COVID-19. Sasa kuna mwingine akionyesha dalili ni too late.

Hi siyo simulizi. Kuna watu wa karibu wamerudishwa kwamba hawawezi kupimwa maana hawajaonyesha dalili na walikuwa na ukaribu na waliyothibitishwa kuwa na COVID-19. Kweli kwenye ugonjwa pia kuna matabaka...

Na ogopa sana wale ambao ni asymptomatic - wanasambaza hatari, bila hata wao kujijua.
 
Kaa kimya....Wewe sio mtz. Ni mtu kutoka JAMHURI YA WATU WA CHATO...
Wewe ni mkenya inajulikana hiyo..unajikomba komba kwa watz ili ujue kiswahili cha huku uzamie...hakuna mtz mwenye pigo za hivi...Nenda kwa manyang'au wenzio.
 
Back
Top Bottom