Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Mimi Barakoa sivai. Natoka sana tu. Sema nakaa mbali na binadamu wenzangu. Unajua Barakoa inaweza kukufanya uambukizwe. Ile kila mara unaishika kuirekebisha hapo hapo waweza jiwekea virus.Kila mara na sanitize mikono yangu,au kunawa mikono.Hakuna aliyesalama dunia nzima sasa hivi.
Wewe huvai barakoa? Au umejifungia ndani?