RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Hakuna aliyesalama dunia nzima sasa hivi.

Wewe huvai barakoa? Au umejifungia ndani?
Mimi Barakoa sivai. Natoka sana tu. Sema nakaa mbali na binadamu wenzangu. Unajua Barakoa inaweza kukufanya uambukizwe. Ile kila mara unaishika kuirekebisha hapo hapo waweza jiwekea virus.Kila mara na sanitize mikono yangu,au kunawa mikono.
 
Huyu ndip alikuwa afe gafla kisa tatizo la upumuaji[emoji26]
Kama bado virus hajafika stage ya kuathiri mapafu unaweza.pigana nae kwa haraka kwa kuboost immunity yako na ukamshinda.

Msome corona, ana stages za atahri zake mwilini.

Na hata stage ya mwisho pia unaweza kupona ikiwa mwili wako utajenga kinga za kutosha kupamba nae. Si kila mwenye maambukizi ya corona atakufa Kwa corona.
 
Ila jaman tutoeni habar za uchama hapa. Jaman huu ugonjwa n hatar.. Inabid tufikie hatua tahadhari zichukuliwe na jambo hili lichukuliwe kwa uzito wake. Mana ueneaje wake ndo umekua tishio.unaupata na hujui wap umeupata. Kinga n bora kuliko tiba..
 
mwenyekiti wenu wa maisha vipi familia zake wamepona?

Unaonesha una wivu sana mwaya. Dada Elli we wacha wivu.
Halafu unajiita mwislamu safi? Faiza, kweli unawadharau sana wanawake, eti Dada Elli, being Dada Elli au Kaka Elli haibadilishi hoja yoyote. hadi nikutie mimba ndio utajua kuwa Elli ni Dada au ni Kidume cha mbegu, tubaki kwenye mjadala ushamishe mada wewe kigagula kinachojificha kwenye mwamvuli wa Dini
 
What game is being played here. Baadae tutaambiwa kapona na korona!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom