RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Halafu unajiita mwislamu safi? Faiza, kweli unawadharau sana wanawake, eti Dada Elli, being Dada Elli au Kaka Elli haibadilishi hoja yoyote. hadi nikutie mimba ndio utajua kuwa Elli ni Dada au ni Kidume cha mbegu, tubaki kwenye mjadala ushamishe mada wewe kigagula kinachojificha kwenye mwamvuli wa Dini
Hivi mie siku zote humu najuwa nalumbana na dada Elli. Maana nna rafiki yangu anqitwa Elizabeth lakini mwenyewe anapenda tumuite Elli.

Hapo sasa.
 
Ndivyo kiongozi unavyotakiwa kuwa. Kama watu wote tungejifunza uwazi huu, ingesaidia sana kupunguza maambukizi na kujenga ujasiri wa kupambana.

Wakati huu ukiwa hujisikii kuumwa chochote, fanya kila uwezalo kuongeza kinga yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Barakoa sivai. Natoka sana tu. Sema nakaa mbali na binadamu wenzangu. Unajua Barakoa inaweza kukufanya uambukizwe. Ile kila mara unaishika kuirekebisha hapo hapo waweza jiwekea virus.Kila mara na sanitize mikono yangu,au kunawa mikono.

Nakushauri uache uzembe wa kutovaa barakoa, unaweza kupita sehemu mtu alipita akapiga chafya dakika 20 zilizopita, virusi viko hewani ukainhale hewa ikavipeleka moja kwa moja mapafuni bila kujijua.

Sanitizer ni kwa ajili ya virusi unavyovishika kwenye hard surface, mask ni kwa virusi vilivyoko hewani
 
Hivi mie siku zote humu najuwa nalumbana na dada Elli. Maana nna rafiki yangu anqitwa Elizabeth lakini kwenyewe anapenda tumuite Elli.

Hapo sasa.
Kwahio kila unayechati nae anafanana na mwingine? Corona imekutafuna wewe na wewe kajitangaze tu, kumbuka uko kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata Corona.

Vipi vitendo Saccoss? Mlikula pesa za watu kw akivuli cha dini mkaingia mitini hahahha Faiza buana
 
Mimi Barakoa sivai. Natoka sana tu. Sema nakaa mbali na binadamu wenzangu. Unajua Barakoa inaweza kukufanya uambukizwe. Ile kila mara unaishika kuirekebisha hapo hapo waweza jiwekea virus.Kila mara na sanitize mikono yangu,au kunawa mikono.
Kwa hiyo unaona huo ni ujanja sana! Mzembe we! Walioanza kupata tatizo hata magari yao wanashauliwa kufunga vioo, wewe unajivunia kutoka sana!
 
Kwahio kila unayechati nae anafanana na mwingine? Corona imekutafuna wewe na wewe kajitangaze tu, kumbuka uko kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata Corona. Vipi vitendo Saccoss? Mlikula pesa za watu kw akivuli cha dini mkaingia mitini hahahha Faiza buana
Jina limefanana na la rafiki yangu Elizabeth.

Ndiyo kwako mara ya kwanza nasikia mwanamme anajiita Elli. Samahani Sana Kwa kukuita dada kama u mwanamme.
 
Jina limefanana na la rafiki yangu Elizabeth.

Ndiyo kwako mara ya kwanza nasikia mwanamme anajiita Elli. Samahani Sana Kwa kukuita dada kama u mwanamme.
Unajua maana yake au unahorojeka tu kama vile umekua "Member of Parliament"?? Vipi kuhusu Vitendo Saccoss kukopeshan bila riba hahahah Faiza utachomwa moto Laivu
 
Nimepitia comments zote zinamtakia heri na Mungu ampe wepesi. Sijui jiwe akisikia anaweza kumtumbua kwa kushindwa kujifukiza?, any way, pole kada.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Mghwira ametangaza kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo siku tatu zilizopita.

Mama Mghwira anasema kuwa hajui amepata wapi na lini maambukizi hayo. Lakini amesema kuwa hana dalili zozote na aliamua tu kupima kujua afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom