Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mko wengi!!Wakandarasi wa finance and building!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mko wengi!!Wakandarasi wa finance and building!
Nchi hii ya wanyonge.Machinga waondolewe mbele ya biashara za wafanyabiashara wengine.Njia ziwe wazi kila mtu atumike inakostahili..
Kongole mkuu chadema waliona mbali sana haya mamboNdiyo chama kikuu cha upinzanini, ilianza kulizungumzia hili swala tangu 2016 lakini hao CCM waliwaita ni wasaliti wasiopenda kodi ikusanyiwe, sasa CHADEMA wametulia wao CCM wameanza kuongea yaliyoongelewa 2016 na CHADEMA mfano Nape na Msukuma na leo Kunenge.
Vipi kuhusu hujuma zenu za kumuangusha???Umesahau jiji la Dar es salaam lilikuwa chini ya meya Issaya Mwita wa Chadema!
Biashara yoyote haitaki usumbufu,vitisho nkKuna sehemu Dubai inaitwa Deira wengi waliofika wanapajuwa. Hii sehemu ndio utawakuta waafrica, wahindi na wengi tu ndio kama kariakoo yetu. Utakuta askari wako lakini hukuti wanamuuliza mtu kitu sio kwamba hawaoni wanawake wanaojiuza hapo wanaona kila kitu na ile nchi unajuwa sheria zake. Ila wanafunga macho muhimu usivunje sheria na wanalinda usalama ila waanacha movement zote free kabisa hawagusi mtu wanalinda mazingira ya biashara. Sasa jiulize kwanini wanafanya vile? wanajuwa hawa wanakuja kununua wanatoka sehemu tofauti bila hawa hakuna Deira ila ukikutwa unafanya ujinga huo sehemu zingine unakamatwa. Kariakoo ilitakiwa tuifanye kama Deira.
Hahahaaaa...... Hapo kwenye mitumba uko sahihi kabisa bwashee!Biashara nyingi zimeanguka kuanzia mazao,madini,mitumba etc
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hapo awali ilikuwa ni hiari,. Ukitaka unalipa, uspotaka basi siyo?sa kaingia Magu kodi lazima zilipwe.
Kaka sisi wafugaji wa kuku wa mayai tunajua principal; kuku lazima ale kwa siku gram 125 ya chakula ili na wee upate yai moja!
Sasa mlishe pumba tupu uone kama utapata hilo yai.
Sasa kuna watu hawampi kuku hata hiyo pumba afu eti wanategemea aendelee kutaga...thubutu!Actually hakupi yai moja kwa siku ila wastani wa mayai 5 kwa siku saba. Halafu anakuja mtu anakudai mayai 3 kama kodi!
Usitegemee lolote toka kwa watu wanaowaza kinyumenyume. Mtanzania anaishi Malawi miaka 3 anakusanya mtaji mil.100 anaamua kurudi nyumbani, akifika mpakani anapewa kesi ya uhujumu Uchumi na fedha yote inataifishwa, sasa sijui kaujumu uchumi wa nchi gani?
Watendaji wa JiJi ndiyo wameliharibu JiJi kwa kua kero sana kwa Wafanyabiashara,hadi wakakimbia na wengine wameacha kufanya biashara wanawasoma Watendaji Sasa watakula wapi!?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!