RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

Huu ni upumbavu kuanza kuogopa mtu kiasi hiki.... Nyie ndio wale hata mkiambiwa lolote na mabosi ni ndio mzee hata kama mengine hayatekelezeki
 
Unataka kusema anchojua Dar ndio kipo Mwanza?
UVCCM mnashupaza shingo na hamna uelewa wa mambo madogo tu.
Haya, kumbuka alikuwa DAR kipindi cha Dikteta, na mambo mengi alifanya nje ya sheria of which ndicho anatakkata hata sasa kufanya.
Acha mambo ya UVCCM na BAVICHA,Makonda ametumwa kazi na wenye nchi,wewe subiri amalize ziara alafu apeleke ripoti kwa Mwenyekiti,usubiri watu watakavyopigwa chini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani Makonda ni kama amekiuka taratibu katika kutoa haya maagizo anayoyatoa kwa niaba ya chama(CCM) kila anapotembelea sehemu.Maagizo kama haya yanatakiwa yatolewe na KATIBU MKUU WA CCM(Comrade Chongolo) na siyo Katibu mwenezi(Makonda).
Huna unachojua wewe ..

Idiot
 
Sawa ke kwenye hujuma ya kuuza bandari makondo unamshauri afanye nini I?
 
Makalla anasema anapokea maagizo ya WM na Rais, sasa inakuaje kama Makonda nae amepewa teuzi na Rais?

Nijuavyo na kuona hasa kutoka CCM, ili mtu apate teuzi ndani ya serikali lazima kwanza awe mwanachama wa CCM, sasa kama Makonda ni kiongozi ndani ya CCM, Makalla lazima amheshimu.

Kwasababu CCM ndio kitovu cha uteuzi, unaweza kuleta ujuaji kwenye utendaji wako serikalini, ghafla ukajikuta unajadiliwa kwenye vikao vya chama, hapo ndipo akili inaweza kumrudia mhusika.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kura haziamui nani awe kiongozi nchi hii, acha kutoa sifa zisizo na maana yoyote.
 

Watanzania gani?. Acheni generalization. Jiongelee mwenyewe.
 

Hakuna Cha mtaji wa kura Wala Nini. Mnaongeaga hivi mwisho wa siku mnaiba kura kwa kutumia mabegi.
 
Ni mtazamo wako,japo wa kipuuzi.Ingekuwa hivyo basi CHADEMA na CCM wangekuwa hawaendi mikutanoni,wangekuwa wanasubiri uchaguzi.
Kinachoamua ni nini kama siyo kura,hii nchi in wapumbavu wengi sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Wewe ndio huelewi. Kinachoamua mshindi sio kura Bali Matakwa ya Time. Kama 2020 Time iliamua kukata majina asilimia 60 ya wapinzani. Tuache kufurahia uonevu kisa unaipaisha CCM .
 
We umekuwa nani uongee hivyo? Kwani mwenyekiti hafahamu ama hajasikia?

Usiingilie mambo yasiyokuhusu.
 
Acha mambo ya UVCCM na BAVICHA,Makonda ametumwa kazi na wenye nchi,wewe subiri amalize ziara alafu apeleke ripoti kwa Mwenyekiti,usubiri watu watakavyopigwa chini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Acha nidhamu ya uoga. Wenyewe nchi ni wanachi ndio maana hata huyo Samiah atakuja kuomba kura.
 
Hujui chochote uache kuamini watu wanaochapa kazi haya basi ngoja tumwamini Mbowe na makamba

Mbona mnalazimisha mambo?. Mbowe kaingiaje hapo. Eti Mbowe na Makamba ili update uhalali wa ajenda yako.
 
Wewe ndio huelewi. Kinachoamua mshindi sio kura Bali Matakwa ya Time. Kama 2020 Time iliamua kukata majina asilimia 60 ya wapinzani. Tuache kufurahia uonevu kisa unaipaisha CCM .
2020 nakubaliana na wewe CCM ya Magufuli ilifanya uhuni sana!
Ila kura za CCM zimekuwa zikipungua tangu mwaka 1995 tulipoanza uchaguzi wa vyama vingi,kwaiyo siyo vyema kusema kura haziamui mshindi wakati CHADEMA imeshakamata Majimbo tena magumu kama Arusha Mjini na Mbeya Mjini lakini bila kusahau Majimbo ya Dar es salaam mwaka 2015.
Malalamiko yasiyo na msingi yaachwe!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Acha nidhamu ya uoga. Wenyewe nchi ni wanachi ndio maana hata huyo Samiah atakuja kuomba kura.
Mbona hueleweki mara kura haziamui mshindi,mara tume ndiyo inaamua.Hizi arguments za Facebook siyo JF.
CHADEMA imekuwa ikishinda kwenye Majimbo magumu Arusha,Mbeya,Iringa,Tarime,Musoma,Mwanza nk.
Mkishindwa basi tume ya uchaguzi haifai au CCM wameiba kura.Siasa ni sayansi,akikuzidi kete mwenzako basi unakubali matokeo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mnavyomwamini Dalali wenu wa siasa Mbowe![emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Ripoti ya CAG imewashinda mmebaki kulia Lia. Kuna dalali zaidi ya Samia wenu?. Kaona waarabu wa maana kuchukua bandari.

Mnawapa mabilioni wenzake wa Viongozi wakuu ila mama mjamzito anafia kaunta Hospitali ya serikali kisa Hana shilingi laki moja na nusu. Kweli nyie mazezeta
 
Ukipitia michango ya vijana wa uvccm, utagundua wengi wao ni empty heads kama huyo Bashite wao. Maana wanamtishia nyau RC Amos Makala ya kwamba eti ataondolewa kwenye huo ukuu wa Mkoa, na wakati yuko sahihi kabisa.

Yeye anawajibika kwa PM na Rais! Na siyo Katibu mwenezi wa chama. By the way, Papaa Amos Makala ni mtoto wa mjini. Hivyo hawezi akawalamba miguu washamba kama Bashite. Na ndiyo maana hata wakati wa awamu ya tano, Jiwe alimuondoa kwenye hiyo nafasi, na bado hakutikisika.
 

Sasa Kama unakubali CCM wanaiba kura, hayo ya Kanda ya Ziwa yanatokea wapi?. Hili nchi CCM wamejilikisha na kuona wengine hawana hadhi ya kuwa Viongozi. Wakati matokeo ya mwaka 2015 Zanzibar yanafutwa, Mzee Karume raia mstaafu wa Zanzibar, aliuliza hivi Hawa wenzetu sio wanzanzibar maana inaonekana hawana haki ya kutawala Zanzibar.

Mpaka Mungu mwenyewe aingilie kati la sivyo CCM kuachia madaraka ni vigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…