RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

Mbona hueleweki mara kura haziamui mshindi,mara tume ndiyo inaamua.Hizi arguments za Facebook siyo JF.
CHADEMA imekuwa ikishinda kwenye Majimbo magumu Arusha,Mbeya,Iringa,Tarime,Musoma,Mwanza nk.
Mkishindwa basi tume ya uchaguzi haifai au CCM wameiba kura.Siasa ni sayansi,akikuzidi kete mwenzako basi unakubali matokeo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Wewe una kichwa kigumu Sana. Nimekuambia kuwa wenye nchi sio hao Viongozi unaodhania, Bali wananchi wakawaida , ndio maana huyo Samiah atazunguka nchi nzima kuomba kura kwa maana waajiri wake ni wananchi.

Sijaamaanisha kwa kura ndio zinaamua, Bali ile gesture ya Rais Kuja kuomba kura kwa wananchi ndio Cha muhimu kuonesha mamlaka ya wananchi.
 
Mimi nadhani Makonda ni kama amekiuka taratibu katika kutoa haya maagizo anayoyatoa kwa niaba ya chama(CCM) kila anapotembelea sehemu. Maagizo kama haya yanatakiwa yatolewe na KATIBU MKUU WA CCM(Comrade Chongolo) na siyo Katibu mwenezi(Makonda).

Na Mie kalimanzila kichwa kinaniuma...Huyu Makonda sio bure...ukimuona Kobe juu ya mti jua kuna aliyemfikisha hapo
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Kama ameshiba basi aendelee kupuuza harafu tuone kati yake na Makonda nani boss ,asilete ujinga wake hapa.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
ACHA UCHONGANISHI kama kweli weka clip hapa
 
Think tanks za chama Cha mbuzi, mpaka mtu unaona aibu...shida ilikuwa ni nini? Hata sijui
 
Ni mtazamo wako, japo wa kipuuzi. Ingekuwa hivyo basi CHADEMA na CCM wangekuwa hawaendi mikutanoni, wangekuwa wanasubiri uchaguzi.

Kinachoamua ni nini kama siyo kura, hii nchi in wapumbavu wengi sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kigenge ndani ya ccm kinachojiita system ndio hauamua nani atangazwe mshindi. Hizo kura ni kwa ajli ya demokrasia ya kuhadaa ulimwengu, na kupatia mikopo na misaada.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Yupo sahii bora kufa njaa kuliko fanya kazi kama mtwana ,
 
Duh 🙄 shughuli imeanza !
 
Huyo dogo unampa promo asizokuwa nazo.Kama Magufuli aliwashindwa wahuni, Bashite atawaweza?
 
Makonda ni mkurupukaji, wana CCM makini watamu ignore.

Kufanya kazi na mtu mwenye IQ ndogo ni shughuli pevu mno.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Makala yuko sahihi kabisa na viongozi kama yeye wanatakiwa wengi katika nchi hii. Mamlaka ya uteuzi inahulikana na ilani ya chama ipo na inatekelezwa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Mh Makala, chapa kazi bila woga.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Ni bora mtu akatafuta akili kwanza kabla ya kuandika upuuzi. Makonda kazi yeke kama mwenezi ni kueneza sera za chama na msemaji mkuu wa chama ni katibu mkuu wa chama.

Kazi aliyojivika makonda kwa mwamvuli wa chama ya kusimamia utendaji na watendaji wa serikali si ya kwake ni kutafuta kiki za kijinga. Vijana tafuteni kazi za kufanya, mnajivua utu kutafuta vyeo kwa kuandika vitu kama vile amjaeenda shule. Huyu ni Samia wala siyo Magufuli hivyo msijivue utu wenu kwa kuandika utumbo. Makonda hana uwezo wa kuteuwa wala kutengua. RC Makala kama kweli kamvimbia yuko sahihi na Makonda hawezi kumfanya chochote.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Hizi ndizo akili za wana CCM. Hata ukifungiwa na nguruwe kwenye banda wewe nyenyekea ili mradi tumbo lako linajaa. CCM ni kunyenyekea tu hata ukipigwa dole la ''kunako''. Da, kuna watu mna roho ngumu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom