Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Hii kitu ndio imempandisha Cheo Makala.Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
anajua uongozi na hierarch!
Hajali wala hatishiwi na jamaa siku zote yupo kwaajili ya Mama Tanganyika tofauti na wapora nyumba za GSM na wengine.