RC Makalla apokea Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma 161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali kutoka Ujerumani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
RC MAKALLA APOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAGONJWA KUTOKA UJERUMANI.

- Ni Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali.

- Avigawanya kwa kila Halmashauri ya Mkoa.

- Ampongeza Rais Samia kwa kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Tanzania na Ujerumani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla leo amepokea Vifaa vya Afya ikiwemo Vitanda vya Wagonjwa, Meza za Wagonjwa na Vyuma vya kusaidia majeruhi wa Ajali kutoka Jiji la Hamburg Ujerumani ambapo Baada ya kupokea amevigawa kwa Halmashauri zote tano za Mkoa.

Akitoa mgawanyo wa Vifaa hivyo, RC Makalla amesema Jiji la Dar es salaam wamepata Vitanda 20, vyuma 32 vya Wagonjwa wa Ajali na meza 7, Halmashauri ya Kigamboni Vitanda 28, meza 10 na vyuma 33 vya Wagonjwa wa Ajali na Halmashauri ya Kinondoni Vitanda 20, meza 7 na vyuma 32 vya Wagonjwa wa Ajali.

Aidha RC Makalla amesema Halmashauri ya Temeke imepata Vitanda 20, Meza 7 na vyuma 32 vya Wagonjwa wa Ajali huku Halmashauri ya Ubungo wakipata Vitanda 20, bedside 7 na vyuma 32 vya Wagonjwa wa Ajali ambapo ameelekeza Vifaa hivyo kutumika vizuri.

Pamoja na hayo RC Makalla amesema msaada huo umekuja wakati muafaka ambapo tayari Rais Samia Suluhu Hassan amefanya maboresho makubwa sekta ya Afya kupitia Ujenzi wa Hospital, Vituo vya Afya na Zahanati na Vifaa hivyo vitakwenda kuongeza Nguvu sehemu hizo.

Hata hivyo RC Makalla ameelekeza Kontena tatu Kati ya sita za Vifaa hivyo ambazo bado zipo bandarini zikombolewe kwa wakati ili lengo la kutolewa kwa msaada huo liweze kutimia.
IMG-20220722-WA0011.jpg
 
RC Makonda alipokea vingi kuliko hivyo
 
View attachment 2300358
Ama kweli mswahili mswahili tuu!
Hivi vitanda Tanzania imeshindwa kuvitengeneza kweli.
Nchi za wenzetu huwezinkuta aina ya kitanda hii kwenye hospitali za wao!! Vitanda zina gurudumu na zinafanya kazi Kwa umeme! Ndio ni vya gharama lakini walau basi hata mneomba vifaa mbadala na hii vitanda vikatengenezwa Sido na VETA!!
Halafu tuna sifia kila kitu. Acheni Misifa kila kukicha pessa A wananchi zinapigwa kwenda mbele!!
 
Hawa majeruhi kutoka ujerumani tunawahitaji wa nini Tanzania? Au wanakimbia joto kwao.
 
Ama kweli mswahili mswahili tuu!
Hivi vitanda Tanzania imeshindwa kuvitengeneza kweli.
Nchi za wenzetu huwezinkuta aina ya kitanda hii kwenye hospitali za wao!! Vitanda zina gurudumu na zinafanya kazi Kwa umeme! Ndio ni vya gharama lakini walau basi hata mneomba vifaa mbadala na hii vitanda vikatengenezwa Sido na VETA!!
Halafu tuna sifia kila kitu. Acheni Misifa kila kukicha pessa A wananchi zinapigwa kwenda mbele!!
Kwa misaada sisi ndio wenyewe,hata kondom na matangazo yake ni kwa hisani ya watu wa Marekani
 
Yaani inasikitisha sana serikali inaiangalia sido/VETA vikifa mbele ya macho yao halafu wanaacha kazi siku nzima kwenda kupokea msaada wa vitanda vya senyenge. Na sasa watumishi huko TPA na Customs wataacha kushughulikia mizigo yenye kuliletea Taifa mapato ya fedha za kigeni na kutoa kipaumbele makontena ya senyenge ambazo VETA wangeweza kuviunda kwa wiki mbili. Hakika tumetolewa ufahamu.
 
hivyo vitanda vya senyenge ndo vimetoka German?

hivi Ujerumani kuna sido?
Vitanda vya senyenge! Vijana wa Tanzania hata senyenge hawaijui ikoje! Labda kama vitanda hivyo ni kwa ajili ya kutesea wahalifu.
 
Back
Top Bottom