RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

Kuna shida hapa. Hii sio njia ya kukamata, hii ni njia ya kumtishia mtu. Kwa maana nyingine ni kwamba wanaojiuza wamepewa 'warning' na sasa hivu watakuwa 'alerted' kwamba sio kila mtu anaevaa kiraia ni mteja wengine ni makachero
 
Hivi anawajua askari wake na matamanio yao ya kimwili?

Malaya/Changudoa ni jina baya, lakini ukiondoa jina hilo wapo wanaovutia kuliko hata wake za hao askari anaowatuma waende kiraia.

Siyo biashara nzuri, lakini haihitaji majukwaa kupambana nayo, ni suala la kimkakati zaidi.
 
Kuna mkuu fulani wa mkoa kila anachosema kinapuuzwa ,mara barakoa lazima,mara level seat,mara wamachinga,mara makahaba,hakuna hata mwenye muda naye
 
Huyu toka apewe jiji kafanya nini cha maana?..
Achana na ukahaba unatusaidia kupunguza mashoga na upo dunia nzima...
Polisi waache wasome PGO kwanza...
 
Tatizo police baadhi yao japo si wote, wakiwakamata machangu police hao hao wana wananiliii...na mwishoe kuwaachia. Mheshimiwa makala unda tim ya kuwachunguza police wanapokuwa wako kitaa.

Adui anageuka kuwa mteja
 
Amekosa mambo ya msingi ya kufanya? Kumbe mtu huyu yuko namna hii kichwani?
 
Kaka na dada waliozaliwa na baba mmoja na mama mmoja au? Kaka na dada wa bamdogo labda na wa bamkubwa
 
sasa mkuu yy kachukizwa na uwanja wa fisi tu mi nilifikiri anataka kukomesha hiyo kwenye jiji lote kama ni hivyo atakuwa anawaonea
 
Au litengwe eneo lao ili serikali ichukue kodi. Kuna wanaopata kitita cha pesa, TRA chukueni chenu.
 
Mnapotaka Kuwaondoa hawa Makahaba ( Malaya ) hapa Dar es Salaam Sisi tusiojua Kutongoza ( Domo Zege ) ila tunajua tu Kuwanunua na Kuwabandua mmetufikiriaje?
Msalimie @gentamy
 
Labda apeleke ma WP ndio watakamata hao machangu lakini hii midume ni rushwa ya ngono hapo tu.
 
Hao polisi hawawezi kuwakamata hao wadada mana ishu utakuja hao wadada watakapowauliza polisi wataje ni kifungu kipi Cha PGO kinachowapa mamlaka hayo. Hapo ndo kila polisi atatawanyika kwa njia yake mana Kibatala shule yake imefika kwa kila mmoja na kila mtu anajua kuwa adui wa polisi kwa sasa ni PGO. RC Makala watumie mgambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…