Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo police baadhi yao japo si wote, wakiwakamata machangu police hao hao wana wananiliii...na mwishoe kuwaachia. Mheshimiwa makala unda tim ya kuwachunguza police wanapokuwa wako kitaa.![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja ,ila nashauri askari wapigishwe punyeto chini ulinzi mkali dakika tano kabla ya kuanza operation hio na wafungwe cctv camera pia
[emoji419][emoji38]Cha muhimu polisi wasiende na nyege tuu
Kaka na dada waliozaliwa na baba mmoja na mama mmoja au? Kaka na dada wa bamdogo labda na wa bamkubwaJamani, jamani, tukubaliane. Dunia imebadilika. We can not rewind it! Ni sawa na mto. Mto umetoka Nyanda za juu kusini na Sasa Karibu unakaribia kuingia baharini (siku za mwisho. Kumbukeni siku za Nuhu), halafu Leo unataka kuurudisha mto Nyanda za juu kusini? It's quite impossible! Acha wanaojiuza. Nyumba zetu zimeficha maovu mengi sana! Ngono za hovyohovyo! Kaka na dada, mjomba sijui na nani, nk, nk. Dunia imekwisha jamani, tuamini hilo?
Msalimie @gentamyMnapotaka Kuwaondoa hawa Makahaba ( Malaya ) hapa Dar es Salaam Sisi tusiojua Kutongoza ( Domo Zege ) ila tunajua tu Kuwanunua na Kuwabandua mmetufikiriaje?
Labda apeleke ma WP ndio watakamata hao machangu lakini hii midume ni rushwa ya ngono hapo tu.![]()