Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhh! ulikuwepo ?🙄Haahah huyu nae sa hao askari si wanapewa mzigo tu tena bure kabisa tena wenyewe walivyo na ugwadu watamkamata nani? Hii biashara ni ya karne nyingi kabla hata ya mitume ni ngum sana kuitokomeza.
Samahani mkuu kirefu cha "PGO" ni nini?Hao polisi hawawezi kuwakamata hao wadada mana ishu utakuja hao wadada watakapowauliza polisi wataje ni kifungu kipi Cha PGO kinachowapa mamlaka hayo. Hapo ndo kila polisi atatawanyika kwa njia yake mana Kibatala shule yake imefika kwa kila mmoja na kila mtu anajua kuwa adui wa polisi kwa sasa ni PGO. RC Makala watumie mgambo.
Police General OrdersSamahani mkuu kirefu cha "PGO" ni nini?
Tafuta humu. Mdada mmoja amejinyonga huko Singida. Kafumaniwa na mama mdogo akilala na baba mdogo. Tafuta, Mada hiyo imetoka Leo hii humu jfKaka na dada waliozaliwa na baba mmoja na mama mmoja au? Kaka na dada wa bamdogo labda na wa bamkubwa
Polisi hawa hawa au kuna wengine?
Tafuta chanzo cha tatizo, ufumbuzi utakuwa rahisi. Hakuna mwanamke kwa kawaida anapenda kujiuza. Ni kudharilika kulikopitiliza. Japo sasa ni shughuli rasmi, ikiwa mbadala kwa ukosefu wa shughuli nyingine yenye heshima kwa jamii.![]()
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.
Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.
Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.
Bongo Five
Atafanikiwa tu kwa kuwahasi wateja wao wote. Nayo kwa muda, uzazi bado upo.Nonsense hiyo biashara haiwezi kufa na hamna kiumbe anaeweza kuizuia labda wawahamishe location tu
Tunaomba ufike kituo cha polisi tukupe maelekezoMnapotaka Kuwaondoa hawa Makahaba ( Malaya ) hapa Dar es Salaam Sisi tusiojua Kutongoza ( Domo Zege ) ila tunajua tu Kuwanunua na Kuwabandua mmetufikiriaje?
Si mlikuwa mnalalamika kuwa Kunenge kapoa sana? Mara hii mmeanza tenaYale yale ya bashite tu. Project zisizoisha
Mtaka nyingi na saba hufikwa na mwingi msiba!Dalili za kukosa ubunifu na kukosa kazi za kufanya.
Hii biashara imekuwapo hata kabla ya nabii Issa.
Hii biashara iko duniani kote na katika miji yote.
Wewe kama si mteja au mdau inakuhusu nini?
Hivi wa machinga kesha malizana nao?
Suala la biashara ya ngono kwa wanawake ni ngumu sana kudhibitiwa kwa sheria zilizopo,maana wakikamatwa watashtakiwa kama wazururaji na si watu wanaojiuza.![]()