RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

Mnapotaka Kuwaondoa hawa Makahaba ( Malaya ) hapa Dar es Salaam Sisi tusiojua Kutongoza ( Domo Zege ) ila tunajua tu Kuwanunua na Kuwabandua mmetufikiriaje?
Huku wanaondoa vipoozeo vya watu
Kule wamefungia website za usiku...

Si km nasifia hii biashara ila naona inasaidia kupunguza majanga kama ya ubakaji nk...

Iko tangu zama za kale
 
Kuna watu wengi wanategemea huduma hapo sasa sijui anataka waende wapi?
 
Wazee wa Matamko kama watangulizi wake na matamko ya hovyo hovyo.
Mpaka sasa hana kipaumbele alichofanikisha.
 
Amos acha dharau... kwa Jeshi la Polisi kwakuwa Mawakaili wa Mbowe waneianika uchi jeshi kuwa polisi almost wote hawjui majukumu yao kazi basi na wewe unaanza kulipelekesha jeshi yaani Siro aende kununua changu kisha akimaliza kula uroda amkamate changudoa kha!
 
Askari wetu ni weledi haifai kuwatuma kukamata wananchi wa kawaida sio sawa
 
King Palace na maeneo ya kuzunguka... anyway ni upuuzi kutaja taja kwani Polisi wanajua kila kitu kwani huwakimbiza almost kila siku wanawakamata na kuwanyang'anya pesa na huwala pia... so Serikali iache mambo ya kuigiza as if Watanzania ni wajinga.
 
Kama Bashite pamoja na kuwa na backup ya mwendazake alishindwa huyo Makala ataweza nini?

Acha watu wauze rasilimali zao.
 
Naona serikali inataka iwaue na kiu zile tovuti za kirumi imefungia... na huku nako wanaanza kukinukisha kwenye machimbo..aisee wanaume wa wa dar mnalo safari hii😁
 
Sasa vitu vingine ni ujinga, mimi kuna chimbo huwa naenda kuwasaidia hawa dada zetu kujipatia riziki yao, sasa inakuwaje hilo chimbo likifungwa?

Tuanze kula wanafunzi?

Tuanze kuhangaika na wake za watu?

Au tuhangaike na house girl tuonekana hatuna adabu kwa waajiri wao?

Huwa naanda 5000 Ya kumlipa dada, mia nne nauli ya kuvuka pantoni kwenda na kurudi!

Wakati kabla sijawajua wako sehemu gani hawa dada nilikuwa napoteza hata 30,000 kwa mzunguko mpaka kupata mbunye.

Acheni watu waishi maisha yao.
 
Back
Top Bottom