RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

Nawasalimu kwa jina la JMT
Naleta kwenu uzi huu maalumu kumsaidia ndugu yetu Amosi Makala mwenye dhamira ya kutokomeza vitendo vya biashara ya ngono Dar.

Mimi naanza na kutaja machimbo ya Ngono.
NB. "Mimi sijawah nunua pisi huko"
1. Pub moja inaitwa Rambo manzese
2. Catalunya Iliyopo sumnujoma road
3.Riverside karibu na Land mark
Karibuni tufichuo machimbooo

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
View attachment 1948850
Acha ki+he+re+he+re!
 
wateja mtajisaliti kweli?
Hapa wanataka mbususu zipande tu bei

Kitu hawajui hii biashara inafanyika mpaka maofisini.

Ukitaka vifo vya wanaume viongezeke kwa presha hii biashara ife japo najua wateja hatutokubali biadhaa hii adhimu inayotoa morali wa kazi na kulinda ndoa za wanawake wanaharakati hapa nchini eti ife.

Mitume waliikuta na kuiacha.
Yeye ni nani akute halafu aiue?
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Naleta kwenu uzi huu maalumu kumsaidia ndugu yetu Amosi Makala mwenye dhamira ya kutokomeza vitendo vya biashara ya ngono Dar.

Mimi naanza na kutaja machimbo ya Ngono.
NB. "Mimi sijawah nunua pisi huko"
1. Pub moja inaitwa Rambo manzese
2. Catalunya Iliyopo sumnujoma road
3.Riverside karibu na Land mark
Karibuni tufichuo machimbooo

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
View attachment 1948850
Msaidieni.

Mwambieni umalaya ni biashara ambayo hatoweza kumaliza

Bora ahangaike na machinga

Asipoangalia issue ya machinga itamfukuzisha
 
Labda hao polisi watoke vatican. Hawa polisi hawahawa?
Huwa nacheka sana eti unawakuta polisi wako serious wanajipanga kukamata machangudoa, mirungi,bangi,ama gongo wakati wao ndio wadau wakubwa.
 
Haahah huyu nae sa hao askari si wanapewa mzigo tu tena bure kabisa tena wenyewe walivyo na ugwadu watamkamata nani? Hii biashara ni ya karne nyingi kabla hata ya mitume ni ngum sana kuitokomeza.
inanikumbusha ile ya mwendazake Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa.klm Ma Anna mnngirwa alipoingiaga tu mkoani akasema atawakomesha Wale wauza Kei pale Malindi Kama hawatoacha yeye ndo ataacha kazi ya URC now ni miaka imepita ad alipostaafu na bado wanapeta izi mambo iz bana noma kweli..Mwanasiasa sio mtu
 
Mwambieni mkuu kwamba.. ipo siku ataachia huo wadhifa. Na watu watajiachia mara kumi yake. Na pia hao wanaofanya hivyo. Ni njia ya kutafuta pesa… kutafuta pesa kuna niia nyingi.. akae kwa kutulia. Aache watu watafute nyapu. Na watoa nyapu watafute pesa. Pass the mic
 
Suala hilo ni la Karne kwa Karne na linatokana na misingi ya ndoa ikiwemo kulipa mahali kabla ya kuoa. Na unaoa ili ukapate kwa urahisi huduma ya mapenzi bila masimango. Sasa hao wanaojiuza pia wapo katika mchakato huohuo wa kuolewa ingawa ni kwa muda/mkataba mfupi zaidi.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Naleta kwenu uzi huu maalumu kumsaidia ndugu yetu Amosi Makala mwenye dhamira ya kutokomeza vitendo vya biashara ya ngono Dar.

Mimi naanza na kutaja machimbo ya Ngono.
NB. "Mimi sijawah nunua pisi huko"
1. Pub moja inaitwa Rambo manzese
2. Catalunya Iliyopo sumnujoma road
3.Riverside karibu na Land mark
Karibuni tufichuo machimbooo

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
View attachment 1948850
PIA uisaidie Polis UKIWA ndani ulimuandalia huyu changudoa kama na wewe hukusevu hiyo jinai?

Polis ianze na wewe
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Naleta kwenu uzi huu maalumu kumsaidia ndugu yetu Amosi Makala mwenye dhamira ya kutokomeza vitendo vya biashara ya ngono Dar.

Mimi naanza na kutaja machimbo ya Ngono.
NB. "Mimi sijawah nunua pisi huko"
1. Pub moja inaitwa Rambo manzese
2. Catalunya Iliyopo sumnujoma road
3.Riverside karibu na Land mark
Karibuni tufichuo machimbooo

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
View attachment 1948850
Sasa ambao hawana uwezo wa kuoa itakuwaje!
 
Wanataka vitendo vya ubakaji vianze kwa kasi. Hawa walikuwa wanasaidia sana. 5000 unapata huduma sawa na bure
 
Rc singida aliyestafu aliwakamata wadada poa wakaamua kumvulia nguo ili awagonge mbona alishindwa hiyo kazi ya kuwafuatilia
 
Back
Top Bottom