RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

Hizo link za zoom ni za mda kidogo,nlifikiri ungenitajia duka maalum wanalouza recently
Kwakweli mkuu hata mie sijawahi kuzinunua kwa bongo. Mie nimezifahamu kutokana na kujifunza kwangu mbinu za self defense huku duniani. Kwahiyo jaribu tu kuulizia huenda ukazipata kwa hapo Dar.
 
Nimependa zaidi aliposema hao vijana wanatumia mapanga kwa hiyo tutatumia silaha zaidi ya panga kuwapora mapanga!

Dawa ya moto ni moto hawa ni majambazi ukiwarembulua macho hawawezi kukuelewa....dawa ya moto ni moto majambazi ni kupigwa risasi tuu halafu tuwasubiri watu wa haki za binadamu.......
Hapa ni kuwapiga chuma tuu lazima walazwe chini ndio wataacha!
Hakuna haki za binadam kwa majambazi.
 
Unaambiwa ni vijana wa 14- 18 years. Wanavuta bangi, kunywa pombe na kutumia madawa mengine ya kulevya. Umri huu ni kuwa wamekosa ajira ama wameasi masomo na kuingia mtaani kufanya uhalifu?

Umekwisema "unaambiwa" hivyo basi hujui ukweli kuhusu umri wao. Hata kama huo ndio umri wao, nani anahusika kuwaweka katika hali hiyo ya kuvuta bangi, kunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya? Wahusika ndio wakushughulikia, la, Taifa litaendelea kuzalisha aina hiyo ya vijana.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"

Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"

Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"

Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
Police walilala mbele
 
View attachment 2208639

Yaani mbinu nzuri ingekuwa ile ya kipindi cha Augustino, mzazi au ndugu unapewa taarifa kachukue maiti sehemu fulani au mochuari.

Hiyo ya nenda kituo cha polisi imekaa kama ina upendo fulani hivi!.

Fasihi imehusika. Subiri kufikia Jumamosi tutasoma nyuzi nyingi za matokeo ++ya kauli hii.

Wale wa Cuba-class of 'msamiati' tuelewane.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"

Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"

Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"

Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
Upuuzi huu wa Viongozi wa kufanya Kazi kwa Mihemko na Zima Moto style utaukuta Tanzania tu kati ya nchi zote zilizoko duniani.
 
Na iende kuwa operesheni endelevu na yenye kuleta matokeo chanya maana tatizo limekuwa likijirudia mara kwa mara !!
Mbona unacomment kama vile ni tamko la leo?
Angalia tarehe
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"

Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"

Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"

Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
Ndio kusema panya wanatawala mpaka sasa, mkuu wa mkoa ana hoja gani?
 
Kama Hawa watoto wameanza kuua.wala sio wa kuonewa huruma.niwakuchemshwa supu
 
Back
Top Bottom