Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,071
Kwakweli mkuu hata mie sijawahi kuzinunua kwa bongo. Mie nimezifahamu kutokana na kujifunza kwangu mbinu za self defense huku duniani. Kwahiyo jaribu tu kuulizia huenda ukazipata kwa hapo Dar.Hizo link za zoom ni za mda kidogo,nlifikiri ungenitajia duka maalum wanalouza recently
Hakuna haki za binadam kwa majambazi.Nimependa zaidi aliposema hao vijana wanatumia mapanga kwa hiyo tutatumia silaha zaidi ya panga kuwapora mapanga!
Dawa ya moto ni moto hawa ni majambazi ukiwarembulua macho hawawezi kukuelewa....dawa ya moto ni moto majambazi ni kupigwa risasi tuu halafu tuwasubiri watu wa haki za binadamu.......
Hapa ni kuwapiga chuma tuu lazima walazwe chini ndio wataacha!
Unaambiwa ni vijana wa 14- 18 years. Wanavuta bangi, kunywa pombe na kutumia madawa mengine ya kulevya. Umri huu ni kuwa wamekosa ajira ama wameasi masomo na kuingia mtaani kufanya uhalifu?
Watanzania mnapenda sana kuuaView attachment 2208639
Yaani mbinu nzuri ingekuwa ile ya kipindi cha Augustino, mzazi au ndugu unapewa taarifa kachukue maiti sehemu fulani au mochuari.
Hiyo ya nenda kituo cha polisi imekaa kama ina upendo fulani hivi!.
Kuna kikodi Kazi kimeshushwa kwa ajili ya hiyo Kazi na tayari Kazi imeishakwahiyo watawatoa wale askari wanaolinda lile daraja la Tanzanite waende kuwakamata mapanya
Nadhani katika nchi dhaifu kwenye issue ya kuua TZA ni ya mwisho mkuu.Watanzania mnapenda sana kuua
Police walilala mbeleMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"
Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"
Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"
Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
Fasihi imehusika. Subiri kufikia Jumamosi tutasoma nyuzi nyingi za matokeo ++ya kauli hii.View attachment 2208639
Yaani mbinu nzuri ingekuwa ile ya kipindi cha Augustino, mzazi au ndugu unapewa taarifa kachukue maiti sehemu fulani au mochuari.
Hiyo ya nenda kituo cha polisi imekaa kama ina upendo fulani hivi!.
Upuuzi huu wa Viongozi wa kufanya Kazi kwa Mihemko na Zima Moto style utaukuta Tanzania tu kati ya nchi zote zilizoko duniani.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"
Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"
Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"
Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
Mbona unacomment kama vile ni tamko la leo?Na iende kuwa operesheni endelevu na yenye kuleta matokeo chanya maana tatizo limekuwa likijirudia mara kwa mara !!
Ndio kusema panya wanatawala mpaka sasa, mkuu wa mkoa ana hoja gani?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao mzima wa 'Panya Road"
Ameongeza "Niwasihi wazazi kwamba operesheni hii haitowaacha watoto wao wahalifu, kama mzazi ulizoea kupata zawadi kwa mtoto, TV bila kujua kipato chake, akudanganye 'amebeti', kawatafuteni watoto wenu kwenye vituo vya Polisi kuanzia kesho"
Amesisitiza "Kila Wilaya kwa mikoa ya Kipolisi, kutoa taarifa za kila siku za Operesheni ondoa 'Panya Road' na kudhibiti uhalifu katika mkoa wa Dar es Salaam kila siku, toeni taarifa tusipotoa taarifa watazitoa taarifa mbaya"
Ameyasema hayo siku moja baada ya kundi hilo la uvamizi kuvamia na kujeruhi watu 19 katika Maenel ya Mtongani, Kunduchi mkoani humo
Ni aibu kwa IGP, RC na Kamanda wa Police Kanda maalum ya DSM.Ndio kusema panya wanatawala mpaka sasa, mkuu wa mkoa ana hoja gani?
That doesn't change the fact that this issue has to end once and for all !!!Mbona unacomment kama vile ni tamko la leo?
Angalia tarehe
bila 'chuma' hawa madogo hawawezi elewa somoKama Hawa watoto wameanza kuua.wala sio wa kuonewa huruma.niwakuchemshwa supu