johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Narudia tena wewe unalipwa hapo hujui maana ya machinga.... machinga hawawezi kaa mbali ya wateja... wanatakiwa kuwa mjini... hayo maeneo unayo yataja ni yapi? machinga complex? Tusubiri afanikiwe nikuletee zawadi...... uwezi kuwatoa machinga mjini
Wale shoe shiners wengi ni Warombo!hawa machinga ni wenu nyie mataga mmekula pesa zao za vitambulisho vya wajasiriamali.
Malizaneni wenyewe, usihusishe chadema kwenye maugoro yenu.
huyu mkuu wa mkoa anafanya cheap politics haya ni mambo minor sana, jiji hili lina changamoto kubwa na nyingi kuliko mambo ya wamachinga mfano miundo mbinu mibovu, wanafunzi kukaa chini, uchafu, hospitali hamna tiba ya uhak
Naomba sana sana anza na mbagala, tegeta. Na hasa maeneo ya bunju B, maana sisi madereva wa mabasi ya kaskazini ikifika asubuhi na jioni tunapoteza mda mwingi paleMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema zoezi la kulirejesha jiji pamoja na mkoa mzima katika hadhi yake litaanza ambapo Wamachinga wanaofanya biashara zao barabarani na katika hifadhi za barabara wataondolewa.
Makalla amesema wamachinga wote wanapaswa kufanya biashara katika maeneo rasmi yaliyotengwa na siyo vinginevyo.
Chanzo: Clouds tv
cc: Mmawia
Bunju ni kinyaaaaKote huko watapitiwa hadi Bunju stendi!
Makalla shikilia hapo hapo usiyumbeMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema zoezi la kulirejesha jiji pamoja na mkoa mzima katika hadhi yake litaanza ambapo Wamachinga wanaofanya biashara zao barabarani na katika hifadhi za barabara wataondolewa.
Makalla amesema wamachinga wote wanapaswa kufanya biashara katika maeneo rasmi yaliyotengwa na siyo vinginevyo.
Chanzo: Clouds tv
cc: Mmawia
======
RC MAKALLA: MARUFUKU MACHINGA KUFANYA BIASHARA KWENYE NJIA ZA WATEMBEA KWA MIGUU.
- Asema agizo hilo ni kwa Wafanyabiashara Mkoa mzima.
- Amtaka DC Ilala na Uongozi wa Machinga kuweka utaratibu mzuri kuwapanga Machinga Kariakoo.
- Awapo mbinu ya kufunga baadhi ya Mitaa Kariakoo kwaajili ya kufanya Biashara.
- Wamachinga wakiri kuingilia maeneo ya watembea kwa miguu na kuahidi kuhama.
- Aeleza dhamira yake ya kuboresha mandhari ya Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amepiga marufuku ufanyaji wa Biashara Kwenye maeneo hifadhi ya barabara zote za Mkoa huo baada ya utaratibu huo kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani na ongezeko la ajali.
RC Makalla ametoa maelekezo hayo alipotembelea Soko la Kariakoo na kujionea Kero ya Ufanyaji biashara holela Kwenye maeneo ya watembea kwa miguu.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala kufanya kikao na Wafanyabiashara hao Jumatatu ya *September 13 na kuainisha maeneo ya kuwapeleka wote waliovamia hifadhi ya Barabara.
Aidha RC Makalla amewaelekeza Kuangalia utaratibu mzuri wa kufunga na kufungua baadhi ya Mitaa Kariakoo kwaajili ya kufanya biashara Kutokana na ufinyu wa maeneo ili Waweze kupata riziki.
Hata hivyo RC Makalla amesema kwa tathimini aliyofanya amebaini Hali ya Ufanyaji biashara holela Dar es salaam ipo kwa kiwango kikubwa na kuwanyima watembea miguu haki zao za msingi.
Pamoja na hayo RC Makalla ameelekeza Manispaa zote za Mkoa huo kuweka Vibao vya kuzuia biashara Kwenye maeneo ya watembea kwa miguu.
Naunga mkono hoja kuwe na masoko yenye kukidhi biashara za namna hiyo mabanda ya kisasa lakini simple na miundombinu rafiki yenye kuweza kuvutia biashara na wateja lakini kariakoo yote mpaka huku posta au mwenge hizi biashara za hovyo hapana haya masoko ya wamachinga yanaweza kujengwa Temeke, Kindondoni na Ilala moja moja tu kukidhi matakwa ya maeneo hayo ila katikati miji ni biashara za kisasa na zenye kulipiwa kodi stahiki mji uwe wa kisasa na hili lisiwe Dar tu mikoa yote Tanzania. lazima tubadilikeKuna haja ya kubuni masoko ya Wamachinga kwa baadhi ya barabara kuliko kujenga masoko makubwa yanayoishia kukosa wajasiriamali.
Naunga mkono hoja kwa asilimia zote hakuna jipya litakalofanyika siku hazigandi.Mji unanuka maviHuo ni mkwara hakuna kitu kitafanyika hapo.
CCM wamepewa nchi miaka 60 wameshindwa kujenga nchi, miundombinu mibovu, hakuna open spaces kila kitu hovyo hovyo.
Kupanga ni kuchagua, kama kweli ipo dhamira ya dhati inawezekana kabisa, shida ni siasa na kinyago alichotengeneza mtu kinamtisha mwenyeweNi Jambo jema ila angalizo tu, asije akawa anadhani anawaondoa wamachinga kumbe anajiondoa yeye ofcn!!
Kwa sabab kabla ya kuwaambia watu waliopo waondoke lazima afikirie wanaenda wap, ikiwa Hana plan wapi wanaenda maana yake anawaambia wajitafutie wenyewe, je yupo tayar na matokeo ya kujitafutia wenyewe??
Naona vibaka na wezi wanaongezeka zaidi, dar itakuja kuwa mji wa hatari kuishi kuliko eneo jingine tz...
hata kama wangekuwa Wahehe kama wewe.Wale shoe shiners wengi ni Warombo!
Kulirejesha? CCM mna fiksi sana aiseee. Wameshapigia kura sasa mnawapa wanachostahiliMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema zoezi la kulirejesha jiji pamoja na mkoa mzima katika hadhi yake litaanza ambapo Wamachinga wanaofanya biashara zao barabarani na katika hifadhi za barabara wataondolewa.
CCM ni chama kikubwa!Kulirejesha? CCM mna fiksi sana aiseee. Wameshapigia kura sasa mnawapa wanachostahili
Itabidi waruci migombani!hata kama wangekuwa Wahehe kama wewe.
Yuko sahihi.....Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema zoezi la kulirejesha jiji pamoja na mkoa mzima katika hadhi yake litaanza ambapo Wamachinga wanaofanya biashara zao barabarani na katika hifadhi za barabara wataondolewa.
Makalla amesema wamachinga wote wanapaswa kufanya biashara katika maeneo rasmi yaliyotengwa na siyo vinginevyo.
Chanzo: Clouds tv
cc: Mmawia
======
RC MAKALLA: MARUFUKU MACHINGA KUFANYA BIASHARA KWENYE NJIA ZA WATEMBEA KWA MIGUU.
- Asema agizo hilo ni kwa Wafanyabiashara Mkoa mzima.
- Amtaka DC Ilala na Uongozi wa Machinga kuweka utaratibu mzuri kuwapanga Machinga Kariakoo.
- Awapo mbinu ya kufunga baadhi ya Mitaa Kariakoo kwaajili ya kufanya Biashara.
- Wamachinga wakiri kuingilia maeneo ya watembea kwa miguu na kuahidi kuhama.
- Aeleza dhamira yake ya kuboresha mandhari ya Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amepiga marufuku ufanyaji wa Biashara Kwenye maeneo hifadhi ya barabara zote za Mkoa huo baada ya utaratibu huo kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani na ongezeko la ajali.
RC Makalla ametoa maelekezo hayo alipotembelea Soko la Kariakoo na kujionea Kero ya Ufanyaji biashara holela Kwenye maeneo ya watembea kwa miguu.
Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala kufanya kikao na Wafanyabiashara hao Jumatatu ya *September 13 na kuainisha maeneo ya kuwapeleka wote waliovamia hifadhi ya Barabara.
Aidha RC Makalla amewaelekeza Kuangalia utaratibu mzuri wa kufunga na kufungua baadhi ya Mitaa Kariakoo kwaajili ya kufanya biashara Kutokana na ufinyu wa maeneo ili Waweze kupata riziki.
Hata hivyo RC Makalla amesema kwa tathimini aliyofanya amebaini Hali ya Ufanyaji biashara holela Dar es salaam ipo kwa kiwango kikubwa na kuwanyima watembea miguu haki zao za msingi.
Pamoja na hayo RC Makalla ameelekeza Manispaa zote za Mkoa huo kuweka Vibao vya kuzuia biashara Kwenye maeneo ya watembea kwa miguu.
View attachment 1930496View attachment 1930497View attachment 1930498
View attachment 1930499
View attachment 1930500