johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchaguzi mkuu ni 2030Wahamisheni jumla sio mnasubiria wakati wa uchaguzi
2030.. Twende na MembeUchaguzi mkuu ni 2030
Za Tegeta na Kawe ingawa zinaoyesha Gerezani.Kuna daladala inayoishia Kariakoo?
Kariakoo hakuna vituo vya daladala!Yaani Nia yangu ninkwenda Kariakoo, wewe unipeleke Machinga complex. Huyu ni Makala au Sakala?
Ajifunze kuheshimu haki za raia, sio kutupelekesha kiboya atakavyo
Ooohh ok tatizo sizitumii ndiyo maana nilizisahau kabisa, tena na Simu 2000 pia zinaishia pale Msimbazi ila bado mtu akashuke machinga complex!
Magari ya Kawe, Makumbusho, Masaki, na Tegeta yanapaki inbox?Kariakoo hakuna vituo vya daladala!
Yanapaki barabarani vile siyo vituo bwashee.Magari ya Kawe, Makumbusho, Masaki, na Tegeta yanapaki inbox?
Punguza povu..utachukua boda au bajaji kufika k.koo..pia kutembea sio mbaya kuweka mwili fit.Yaani Nia yangu ninkwenda Kariakoo, wewe unipeleke Machinga complex. Huyu ni Makala au Sakala?
Ajifunze kuheshimu haki za raia, sio kutupelekesha kiboya atakavyo
Mkuu wa mkoa ndio atahama...................wait for the sarcasm to be staged by the confused animalsMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema wamachinga waliogoma kuhama wataondolewa kwa lazima na vibanda vyao kuhamishwa. Kesho 30/10/2021 ndio siku ya mwisho kwa wamachinga wite kuhamia maeneo rasmi.
Kadhalika Makalla amesema ataongea na wadau wa Usafiri ili daladala zote zinazoishia Kariakoo ziwe zinaishia Machinga Complex ili kuchangamsha biashara katika eneo hilo.
Source: ITV habari
Ngoja tuone!Mkuu wa mkoa ndio atahama...................wait for the sarcasm to be staged by the confused animals
Unalijua joto la Dar na msongamano wa watu kuanzia Machinga Complex Hadi Kariakoo?Punguza povu..utachukua boda au bajaji kufika k.koo..pia kutembea sio mbaya kuweka mwili fit.
#MaendeleoHayanaChama