Unataka watoke au wapangwe!?Brother kariakoor bado kuchafu sana. Machinga hawajatoka
Eenhee! Mnataka kila mtu awe shoeshiner mjini!? Au ndio yale ya kupunguza msongamano magerezani kwa kuondoa wezi wa kuku na kujaza machinga!? Huyo anayejiita makala hata mbeya alitusumbua sana sisi machinga. Machinga wa dsm tafuteni namna ya kupambana naye, kwa kuwa akili hana huyo jamaa.Safi sana Makalla ,Kuanzia tar 31 na 01 ni kukamata wabishi wote na kuwapiga faini laki3 na kifungo cha miaka mi3 ili iwe fundisho kwa wasiotaka kutii sheria bila shuruti.
Machinga complex hakuna bus terminal ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa.Yaani Nia yangu ninkwenda Kariakoo, wewe unipeleke Machinga complex. Huyu ni Makala au Sakala?
Ajifunze kuheshimu haki za raia, sio kutupelekesha kiboya atakavyo
Vile actually sio vituo ni barabara za kupitisha magari ya mizigo kuingia sokoni. Vingekuwa vituo vingekuwa na nafasi sasa zile ni njia za barabara tu. Kitendo cha kupaki magari pale kinasababisha foleni ya magari barabara nyingine hasa road ya polisi pale. Napo kusingekuwa na kituo wangekuwa wanapaki hapoComment bila shaka unaiandika ukiwa Mogadishu wewe si bure
Confused state, mkuu wa mkoa hawezi kuongoza watu zaidi ya millioni 7 siyo kweli.Hapo machinga complex eneo gani zitapaki hizo daladala za maeneo yote zinazoenda kkoo?
Brother kariakoor bado kuchafu sana. Machinga hawajatoka
Sasa exposure ya Cape Town itamsaidia nini Makala hapa. Kwamba ajenge kituo cha daladala cha ghorofa, yeye hana bajeti hiyo na wala sio kazi yake. Anachokifanya ni kutumia miundombinu iliyopo kwa kila kinachowezekana. Kwanza hii nchi kila mtu lawama, ufanye lawama na usifanye lawama.Machinga complex hakuna bus terminal ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa.
Labda machinga complex iwe ni via lazima daladala zipite hapo.
Tuna tatizo la kuwa na viongozi licha ya kuwa na exposure sijui akili zao huwa zinakuwa wapi?
Kwa mtu aliyefika Cape town South Africa ile Tax terminal yao ni ya ghorofa, kwakuwa mji wetu umejengwa bila plan hapo kariakoo bado palikuwa na uwezo wa kujenga daladala terminal ya ghorofani paleale gerezani mwendokasi, chini wabaki BRT na juu wapewe daladala.
Kwani za Tegeta na Masaki zinaishia wapi!Kuna daladala inayoishia Kariakoo?
Kuna daladala kibao zinaishia na kuanzia safari zake Kariakoo! Njoo field ujionee.Kariakoo hakuna vituo vya daladala!
Wahamisheni jumla sio mnasubiria wakati wa uchaguzi
Watu waumie ili kuchangamsha machinga? Kweli çcm wote ni akili ndogoMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema wamachinga waliogoma kuhama wataondolewa kwa lazima na vibanda vyao kuhamishwa. Kesho 30/10/2021 ndio siku ya mwisho kwa wamachinga wite kuhamia maeneo rasmi.
Kadhalika Makalla amesema ataongea na wadau wa Usafiri ili daladala zote zinazoishia Kariakoo ziwe zinaishia Machinga Complex ili kuchangamsha biashara katika eneo hilo.
Source: ITV habari
Makala analeta siasaKuna daladala inayoishia Kariakoo?
Nataka hela zangu2030.. Twende na Membe